DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Udsm ni noma yaani A level nilipata one lakini still chuo nikapata GPA ya kijinga 3.0...... Halafu with honours cjui mantiki ni nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukoko wa RB 200.Kuna lecturer aliwahi kutuambia enzi zao RB ilikua 300/= then wali nyama 500/=
Zote zilikuwepo, wanafunzi walipendelea DARUSO Bar, ukiwa na hela zako unaenda Meeda.Bar ya DARUSO tena? Ama UDASA?
Hatari sanaProf. Kadeghe na somo lake la CL106 communication skills, mpaka wazungu lugha ya kwao lakini walikuwa wanashikwa
Kwa Uiso,mzee Ngowiamerip juzi,kwa kunambi,Holyday,kwa mbepera ama?Asee RB, sisi tumekuta inauzwa 900/-
Shuttle pori ilikuwa muhimu sana. Lakini mtaani Msewe ilikuwa bata zaidi baada ya watu kuhamia mtaani mwaka wa pili.
Ila UDSM wanakula vichwa sana ase sitoisahau😂😂
Dah apumzike kwa amani!Kwa Uiso,mzee Ngowiamerip juzi,kwa kunambi,Holyday,kwa mbepera ama?
Hahah ulitisha sana Mkuu.Udsm ni noma yaani A level nilipata one lakini still chuo nikapata GPA ya kijinga 3.0...... Halafu with honours cjui mantiki ni nini!
Embu unipigishe ngeli kimtindo ase maana inanipiga knock out mno.I had an A too na sielewi kwanini watu walikuwa wanafeli CL labda kwa kuwa napenda somo la English
umewasahau mtatiro na bush mzee wa 'nitazikwa utawala' baadae akaajiriwa udsm hapohapo...enzi za kwenda kulala road baada ya mwanafunzi kugongwa pale mabibo, yalipigwa mabomu tulifyatuka concorde ikasome, ile siku ya kwenda kuzuia magari sababu ya ajali vilitembea viboko mle blocks kwa wasioenda ilikuwa lazima kwenda acha kabisa...kipindi fulani chuo kizima mutu zikatimuliwaWaanzilishi wa kunji David Silinde, Odong Oduar, Stephen Owawa.
1. Yule jamaa walimuonea tu. Demu alimchomesha kutokana na mahusiano yao ya kimapenzi. Bahati nzuri jamaa alipona.Mambo ambayo sitayasahau pale Mabibo hostel2006-09:
1.Kipigo alichokipata Kibaka Mbele ya Block E.
2.Kifo cha mwanafunzi Bertha,aliyechomwa kisu na mpenzi wake.
3.Bata (ulevi) cafeteria,nasikia kwa sasa hakuna pombe.
4.Sisi wapenda soka tulikua hatukosi common room kuangalia mechi za ligi kuu Uingereza Jmos na Jpili.
5.Shida ya majikpindi fulani tukawa tunanunua nje ya geti kwa 1000 kwa dumu 1 la lita20.
Kiukweli maisha yalikua bomba sana!
Mkuu nadhan shule ya udsm ilinikataaga tu... Nimewahi kupata sup Moja na nikashindwa kuichomoa then nikai-carry...Hahah ulitisha sana Mkuu.
Itakuwa haukuwahi kupata sup ndio honours.
Mimi bhana sikuwahi pata 3.0 GPA kubwa nlipata 2.7 semester ya kwanza, na nilipata A na B+ moja tu baada ya hapo sikuwahi kuona A wala B+.
Mkuu mm nimekaa msewe golani kule juu... Pale tank Kuna kamteremko then kakidaraja nadhan ndo kwa mbepera.Kwa Uiso,mzee Ngowiamerip juzi,kwa kunambi,Holyday,kwa mbepera ama?
Hahaha.. mbona ilikuwa balaa sana ase, kwa juhudi hizo ilikuwa unyoshe sana. Huwenda kozi pia ilikuwa ya moto mno, maana mimi kozi yangu bhana kwa upande wangu na nilivyokuwa na mambo mengi ilinishinda hivyo nika-disco.Mkuu nadhan shule ya udsm ilinikataaga tu... Nimewahi kupata sup Moja na nikashindwa kuichomoa then nikai-carry...
First year 3.1, second year 2.9 na third year 3.0.......... Overall 3.0 with honours.
Udsm shule ilinikataaga sana sijui Kwa Nini... First year nimekaa hostell main campus pale hall 5 pamoja na kusoma sana Bado matokeo yalikua yanagoma, second na third year nilikua nakaa kule msewe mitaa ya golani na usiku nilikua naenda kusoma chuo but still matokeo hamna kitu... Toka hapo ndo sikutaka mambo ya kusoma tena navmzuka wa shule umekata mpaka leo.. But namshukuru mungu siku-disco.
Hicho kipande ndicho nilikuwa nakaa pia.Mkuu mm nimekaa msewe golani kule juu... Pale tank Kuna kamteremko then kakidaraja nadhan ndo kwa mbepera.
Mkuu ulikua unasoma course gani mpaka uka-disco....Hahaha.. mbona ilikuwa balaa sana ase, kwa juhudi hizo ilikuwa unyoshe sana. Huwenda kozi pia ilikuwa ya moto mno, maana mimi kozi yangu bhana kwa upande wangu na nilivyokuwa na mambo mengi ilinishinda hivyo nika-disco.
GPA ya 3.0 si haba Mkuu, ulipiga ulipambana ase.
Mwaka gan ulikaa msewe, may be tulikua generation Moja...Hicho kipande ndicho nilikuwa nakaa pia.
Ase nilikuwa naona uvivu kinoma kwenda vipindi vya mchana mara nyingi nilikuwa nalala, kipindi kiwe asubuhi sana nitaenda na kikiisha narudi gheto hata kama kuna kingine mchana.