Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Kuna mhudumu wa pale DARUSO cafeteria alikua anajidai tomboy nilikuja kumtia baada ya kupata boom la field pale Mpakani kwenye gesti bubu flan hv daah. Aisee ma-tomboy Wana K tight balaa
 
Sijui kwanini siku hizi vinasoma vitoto vidogo hadi ule mzuka wa chuo unaisha.
Halafu kichwani weupe. Niliwahi kukutana na demu kamaliza LLB anaomba nimtafutie mchongo angalau asiaibike Mjini, nikampa mchongo wa NGO ipo Chake Chake - Pemba kumpigia baada ya miezi 3 ananiambia anamkaribia kujifungua mimba ya bodaboda wa pale Mikocheni
 
**Halafu kichwani weupe. Niliwahi kukutana na demu kamaliza LLB anaomba nimtafutie mchongo angalau asiaibike Mjini, nikampa mchongo wa NGO ipo Chake Chake - Pemba kumpigia baada ya miezi 3 ananiambia anamkaribia kujifungua mimba ya bodaboda wa pale Mikocheni
Yaani ni shida, mwaka jana mtoto wa bro alikuwa anamalizia Education si kapewa mimba na mchoma chips anarudia mwaka sasa. Shenzy taipu.
 
Hicho chuo ni ndoto ya kila Mtanzania kufika. Mimi nilikosa nafasi hapo baada ya kukosea kuweka viambatanisho wakati wa ku-apply. Ikabidi nikasome kwingine.. ningesubiri mwaka unaofuata ningechaguliwa. Kusoma UDSM ina maana wewe una akili nyingi.
 
UDSM sasa hivi hamna kitu aisee. Rev Square pamepandwa maua na yamestawi vizuri kabisa.

Hata watoto walioko UDSM sasa hivi hawajui kama pale panaitwa Rev Square.
 
Back
Top Bottom