lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
kwanini?Mimi sitaki mazoea nawewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini?Mimi sitaki mazoea nawewe
Raha ya starehe asubuhi ujuteUsitumie zaidi ya mshahara wako wa siku, katika starehe ya siku moja.
So kama unalipwa 300k kwa mwezi, usitumie zaidi ya 10k.
Hivi inawezekana et🤔Starehe na jinai vina ukaribu sana
Hiyo 10K unakunywa double Kick tu?Usitumie zaidi ya mshahara wako wa siku, katika starehe ya siku moja.
So kama unalipwa 300k kwa mwezi, usitumie zaidi ya 10k.
Sio inawezekana starehe na penal code 16 ni sawa na mdomo na pua.Hivi inawezekana et🤔
Wacha niwe makini 😂😂Sio inawezekana starehe na penal code 16 ni sawa na mdomo na pua.
Ulivokua unachafuka mi nilikuepoGifted girl njo nisaidia...
KUna watu na watu nawataka mazoea ila wewe tafadhali sihitaji mazoea nawewe achana na maisha yangu brokwanini?
mbona mikwara sasa nimekufanya nini?KUna watu na watu nawataka mazoea ila wewe tafadhali sihitaji mazoea nawewe achana na maisha yangu bro
Ni hayoo tu sijui unanielewa elewa mambo yasiwe mengimbona mikwara sasa nimekufanya nini?
kwanini hunipendi?Ni hayoo tu sijui unanielewa elewa mambo yasiwe mengi
Hivi itakuwa poa nikikureport kwa wakuukwanini hunipendi?
wakuu gani kwakosa gani?Hivi itakuwa poa nikikureport kwa wakuu
😅😅😅😅🤣🤣 Mpaji Mungu njoo uchukue mke wako huku kabla wana hawaja mpigia debe.Hawanitaki ndioo nakula raha kwa kwenda mbele mie humu nimeitwa geresa mtu ambai hafai kwa wanadamy wa jf
Nikome kabisa Mungu atanipa wangu mzuri na mzee nikomeee😅😅😅😅🤣🤣 Mpaji Mungu njoo uchukue mke wako huku kabla wana hawaja mpigia debe.
😅😅😅Nikome kabisa Mungu atanipa wangu mzuri na mzee nikomeee
Unamchekea nani
Unachagua chagua nyanya mwishoni utachagua biringanya 😅😅😅Unamchekea nani
Basi wewe ndio biringanyaUnachagua chagua nyanya mwishoni utachagua biringanya 😅😅😅