Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kweli kabisa si unajua mambo ya utotoniWhat! Pole Sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa si unajua mambo ya utotoniWhat! Pole Sana mkuu
Shukrani chiefpole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa babu kulikuwa na nyigu/manyigu sebuleni darini,babu alikuwa akiwaita wanajeshi wake akisema mtu hasiwaguse;Mimi na utoto wangu ilikuwa haingii akilini,sasa siku moja wakati babu amelala nikaona sasa huu ndo muda wangu wa kufanya yangu,nikatafuta kipande cha gogo nikajiset karibu na mlango standby kwa mabio,nikacheck eneo salama la kukimbilia baada shambulizi nikaona liko poa,ndo nikutupa nyukilia yangu Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23];Wewe wewe Wewe mabio hayakusaidia lolote nilipigwa za uso,za kichwa huku nikiomba msaada kwa babu.Sikuwahi kurudia tena!Babu akasema nilikwambia husiwachokoze wanajeshi wangu,kweli walikuwa make babu alivyokuja tu wakaacha kunitandika na kurudi ndani,sijui uchawiii ht sikuelewa hd wa leo make ht baada ya kufariki walihama wenyeweUtoto Ni Raha Sana jamani. Nakumbuka kipindi Niko mtoto nilikuwa active Sana kwenye michezo mbali mbali ya utotoni. Ila kina michezo hatari Sana ambayo tulikuwa tunashiriki Kisha iikatusababishia madhara tukaishia hospitalini.
hahahahaahahaahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa babu kulikuwa na nyigu/manyigu sebuleni darini,babu alikuwa akiwaita wanajeshi wake akisema mtu hasiwaguse;Mimi na utoto wangu ilikuwa haingii akilini,sasa siku moja wakati babu amelala nikaona sasa huu ndo muda wangu wa kufanya yangu,nikatafuta kipande cha gogo nikajiset karibu na mlango standby kwa mabio,nikacheck eneo salama la kukimbilia baada shambulizi nikaona liko poa,ndo nikutupa nyukilia yangu Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23];Wewe wewe Wewe mabio hayakusaidia lolote nilipigwa za uso,za kichwa huku nikiomba msaada kwa babu.Sikuwahi kurudia tena!Babu akasema nilikwambia husiwachokoze wanajeshi wangu,kweli walikuwa make babu alivyokuja tu wakaacha kunitandika na kurudi ndani,sijui uchawiii ht sikuelewa hd wa leo make ht baada ya kufariki walihama wenyewe
Mkuu😂😂😂 nilishuhudia mdogo angu akilia kama mtoto sababu ya hao wadudu, yaani nilichekaa. Sijawahi kung'atwa nao ila naskia ni balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa babu kulikuwa na nyigu/manyigu sebuleni darini,babu alikuwa akiwaita wanajeshi wake akisema mtu hasiwaguse;Mimi na utoto wangu ilikuwa haingii akilini,sasa siku moja wakati babu amelala nikaona sasa huu ndo muda wangu wa kufanya yangu,nikatafuta kipande cha gogo nikajiset karibu na mlango standby kwa mabio,nikacheck eneo salama la kukimbilia baada shambulizi nikaona liko poa,ndo nikutupa nyukilia yangu Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23];Wewe wewe Wewe mabio hayakusaidia lolote nilipigwa za uso,za kichwa huku nikiomba msaada kwa babu.Sikuwahi kurudia tena!Babu akasema nilikwambia husiwachokoze wanajeshi wangu,kweli walikuwa make babu alivyokuja tu wakaacha kunitandika na kurudi ndani,sijui uchawiii ht sikuelewa hd wa leo make ht baada ya kufariki walihama wenyewe
Maumivu ya nyigu we yasikie tu kwa mwingine yasikupate.Mkuu😂😂😂 nilishuhudia mdogo angu akilia kama mtoto sababu ya hao wadudu, yaani nilichekaa. Sijawahi kung'atwa nao ila naskia ni balaaa
[emoji16][emoji16] kama nakuona mwendo wakoUmasaini tukawa tunaenda msituni kweye mapango yaliyozungukwa na vichaka kutafuta watoto wadogo chui ili tukavichezee. Tulivipata Once mamayao alatokea. Rafiki yangu alipigwa ukucha wa shingo tukatawanyika kwa speed ya bodaboda, yaani kusingekuwa na morani karibu angeuwawa
Hatari sana,,husingelimcheka make mimi zile sindano nilizogongwa bd nazikumbuka hadi leo, tabia ya wadudu yaan mmoja tu anaweza kukushambuli mara nyingi mwili sehemu tofauti hasa kichwani ukadhani unashambuliwa na nyigu 200 kumbe ni mmoja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] nilishuhudia mdogo angu akilia kama mtoto sababu ya hao wadudu, yaani nilichekaa. Sijawahi kung'atwa nao ila naskia ni balaaa
Ndio babe wangu ruka kwa uangalifu tu. Usije haribu kiwanda cha kuzalisha watoto.Nimeshavunjika mkono udogoni sababu ya sarakasi zile za kwenye matofali na matairi.
lakini sikomi hata leo nikikaa naruka tu kudadeki mpaka baby wangu Hannah anapiga Yowe ntavunja nyonga na kugegedana tushindwe.
ungekata moto mzeeTulikuwa tunacheza kidali kwa kumbizana kwenye mkorosho ...kwahiyo tunarukia matawi ya mkorosho kama ngedere ili kukwepa kudalikwa
Siku moja nimerukia tawi likakatika nikadondoka toka umbali wa mita kama 10-20 hv na nikatulia mgongo nakumbuka sikuweza kutoa sauti wakati wa kulia wala kuongea kwa muda wa takribani nusu saa...nilibaki nimetoa macho huku machozi yakitoka tu
Baaada ya hapo sikurudia tena kudandia miti