nilikua muoga wa fimbo kwahiyo kufaulu hakukua tabu
mwalimu aliniambia katika maswali 50 ya mitihani mitano ya kila ijumaa nisipate chini ya 40/50 inamaana nikose maswali 10 tu
- Katika mtihani wake wa hisabati swali la 1 -25 nisikose hata 1 nikikosa fimbo 3
nikipata 40/50 konzi 1
- Nikiandika jibu halafu nikakata nikaandika jibu lingine kwa mbele fimbo 3 (majibu yote ya mtihani yawe clean)
- Katika maswali 50 hakuna kuacha Gap jaza yote hata upupu jaza ila sio mtihani uende na Gaps
- Ukipata swali ya Hisabati gumu halafu ushindwe kusolve mbele ubaoni pale fimbo 3
Ilinifanya nifaulu shule ya vipaji maalumu[emoji2] ambayo yeye mwalimu alinitabiria
mpaka kesho kutwa sina muandiko mbaya , nazingatia uandishi mno maana nahisi kama zile fimbo 3 bado zipo