Tukumbushane ujinga tuloufanya pindi tukiwa watoto

mimi nilikuwa nanawa mwisho kwenye usawa wa kaptula yangu ya shule. Sasa nikikaa kwenye dawati kaptula ikipanda juu kidogo ramani yote inaonekana. Bsi nilikuwa nakosa amani sana.
 
Me nilikuwa nadanganya nimefunga swaumu ili nickose gauni redimedi ya eid, bt nikikabwa na kiu sana naingia choon najfanya naenda kujsaidia kumbe mzee nakazia swaumu na mawater!! Nakunyw maji ya chooni
 
Mi nilikuwa nakamata vifaranga vya kuku 2nachinja na wenzangu 2naiba mafuta n,k jikoni tunajificha mahali 2navikaanga .2kibambwa tunasema ndege ! Dah!
 
Nilikuwa jikon na mama akanipa chakula alpoondoka nikaweka jikoni na mie alaf ilkuwa bakuli ya plastic
 
Kuwachungulia mtoni mabinti wakioga
Kukunja mgumu kwenye paja na kutengeneza umbo la K
Kuwawekea mabinti kioo chini ili kuwachungulia
Kupiga chabo
Kupiganisha kuku
Kununulia vitumbua sadaka

Duh we ulikuwa kdg kama mimi
 
wakati nipo mdogo nilikuwa wakatu fulani naishi na babu na bibi kijijini.kutokana mila na heshima za enzi hizo babu alikuwa anafanya timing sana ya kuenda Toilet, na nikawa najua babu huwa aendi Toilet,
Basi siku moja babu sijui akajichaganya vipi nikamwotea anatoka toi halafu nikamuuliza "babu unatafuta nini" akajibu "kulikuwa na panya namkimbiza" eti nikakubali sababu aliyotoa.
Baada miaka kadhaa nikajua nilikuwa napigwa fiksi.
 
Nilipiga pasi soksi zikayeyuka, nkawa navaa soksi za pundamilia zenye matobo. Eheee! Nimekumbuka afu kuna siku nliweka blueband kwenye chai. Hahahahahah
 
Nilikua kibaka hatari..nakwenda kwa friends wake baba au mama nawaambia mama amenituma hela..nikipewa siku ya pili shule mimi bosi..kukazia saumu chooni ilikua sana tu..kuanzia darasa la 3 hadi la5 nilikua na daftari moja tu la kuzugia,kuwataman madada wazuri nk. Nilipogundulika kuhusu utapeli wangu na kutoroka shule mama alinikabidhi polisi asbh mpaka jioni..mbona nilikoma na std7 nikafaulu vipaji..lakini tatizo moja mpaka leo bado ninalo..mademu..naomba mungu anisaidie
 

kumbe?ndiyo maana posts,coments zako mara nyingi hazna mashiko
 
Nilitengeneza mpira wa Makaratasi ndani badala ya kuweka makarasi nikaweka jiwe la mviringo, nilipomaliza nikaweka magali ya mawe jamaa mmoja akatokea nikamwambia anipigie penalt......aisee ilikuwa balaa, jamaa alivunjia vidole vya miguu ukizingatia alikuwa peku
 
Kuwachungulia mtoni mabinti wakioga
Kukunja mgumu kwenye paja na kutengeneza umbo la K
Kuwawekea mabinti kioo chini ili kuwachungulia
Kupiga chabo
Kupiganisha kuku
Kununulia vitumbua sadaka
Umetishaaaaaaaaaaaa especially hiyo ya kioo, kuna mabinti walikuwa hawavai chupi, utamuje?
 

hahahaha hiyo safi
 
Umetishaaaaaaaaaaaa especially hiyo ya kioo, kuna mabinti walikuwa hawavai chupi, utamuje?

hahahhahha wew ullikua una mchezo huo maana unavyojua haaaaaaa hatar,mim choo chetu cha shule ya msingi kilikua cha bati bas zile bati za kutenganisha cha kike na cha kiume zilikua zimeliwa na kutu kwa chin kwa hiyo kulikua na uwaz mkubwa tu so kaz yangu ilikua ni kuinama na kuchungulia mkojo unavyotoka kwenye nanihiii dah balaa,darasa la pili hilo ila nacheki had mijitu darasa la saba anamwaga kama bomba c unajua tena wameshaanza kunanihiliwa basi ulikua ni uhondo acha tu,most of time utanikuta chooni hahahahahaha
 
ayaaaaaa umenkumbusha pacha angu hahahahahahaha! afu anakuja tumnuse mdomo kanywa soda

hahahah mi kudokoa sukari bhana daaaah yan ukiniachia sugari kama ni kilo utakuta robo,nikitumwa dukan lazima niigawe kidogo yan dah balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…