Kapongosha
Member
- Aug 20, 2013
- 9
- 1
Dah mi mzee nilikua mbanaji school ile mbya nikiambiwa nenda xhule naingia poli na washkaj then xaa saba saba hv tunaenda zetu ktk kumb za vdeo na kuchek movie sometyme nikikoxa hela mzee naiba chupa za xoda, vjiko na glas na kwenda kuuza sh mia moja na kuingia pcha cku moja nko zngu kwenye banda la movie mara nikasikia dj ametaja jna langu et naitwa getin na mzee wangu weeh nilirukaje fom na kuptia kwenye ukuta wa choo nikaruka mpka nje nduki