sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
nakumbuka bro alikua na tabia ya kutoroka usiku na kwenda disko kumbe wazee walimshtukia siku moja wakamlia timing dingi kashika slasher na fimbo afu maza kashika tochi wamebana getini ile mida ya kurudi anavoingia tu kipigo alichokutana nacho wacha kabisa alienda kulala chini ya mti afu kulikua na mvua vibaya