Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Nakumbuka Perfect Strangers, Nunca te Dire, Days of our lives(John Black, Sami, Malena, Nicolas, Stefano Di Mera, Hope). Watoto wasafi moyoni, Martina Chambiri.
 
Kipindi hicho tulikua tunakariri nyimbo zotw za matangazo kama sigara Sm sigara sweetmenthol ni maarufu tanzania yoteee nimesahau maneno,taifa letu tanzania,gazeti letu tanzania mnakumbuka?revolaaa aaa revolaaaa,ule wimbo w chai jaba pia
Hahahaa! Chai jaba nzuri, yenye nguvu na idumu maishs yote chai jabaa..kikombe cha urafikii... Tulikuwa wengi mkuu.
Jina Halisi ni Jaleel Ahmad White!

Jina la kuigizia "Steve" Urkel!

View attachment 402212

Ha ha asee ilikuwa na kasound track flan hvi
 
CTN naona ilikua ya miziki sana na international programs.
 
Dah aisee hizo memories zimenibamba kinyama.Enzi Mr.T na the A Team.Love thy neighbour ile tamthiria kijamaa kina upara kinaruka kamba na watoto.Police Academy.

Miziki ya west Africa kina Yossou Ndou,Angelica kidjo.

Kuna the roots ya kina kunta kinte.

Kale katoto kaliimba "Tanzania eeh nakupenda... alichanganya na kijapan.

Football enzi za kina babayalo,uche ukochuku hiyo Atlanta olympic 1996.pia enzi za kina Mc Fish yaani nilikuwa nimebandika stickers zao nyuma ya mlango.
 
Huyu alikuwa anaitwa Renee Lamira
 

Mjomba mtoto anaitwa martina aliimba lugha ya kitaliani
 
Zile mechi Nigeria wanawapiga Argentina na Brazil 1996 Olympics ,kuna matukio nayakumbuka hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…