Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Neighbours
21 jump street

Nani anakumbuka hizo
Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........
Neighbours
21 jump street

Nani anakumbuka hizo
Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........halafu mkali mwingine mule ndani ni johnny Depp.........
 
Tangazo la Mobitel now you talking nalimis pia aisee
Ha ha ha ha kuna madogo huwa nawatesa sana nikiwapa story za kadi za sim za prepaid kama GSM......nikiwahadithia kuhusu Kadi poa......tritel.......buzz yaani nawanyima amani kabisa maana hawana la kuchangia maana ni vitu wamevisikia tu na hawajawahi viona.
 
Mimekumbuka pia Tangazo la Coca cola la father krismas ITV lilikuwa la msafara mrefuu wa magari ya coca cola nilikuwa nalipenda sana wakati wa krismas
Lipo Youtube......yaani ikifikaga chrismass najiwekea mwenyewe halafu napretend nimerejea kipindi kile da......yaani lile tangazo lilikuwa na mzuka balaaa
 
Yeah kweli kabisaa mimi niliwahi kudownload film zake karibu tano hivi
Aaaaaaaah nimekumbuka......huyu "HOLOGRAM Assistant" alikuwa anaitwa " salma" maana alikuwa anamwita sana.......alikuwa abatokea kama jini hivi halafu alikuwa na uwezo wa kucontrol vitu halafu jamaa alikuwa na kiremote ambacho akikibonyeza aidha unazimia au anakupoteza unatoweka unarudi kwenye past yako.
 
Ha ha ha ha ha Huyu ndio kidume dawa ya General Zoad.............halafu jamaa alipata ajari akapooza mwili nzima......amefariki tayari masikini ila alikuwa na muonekano mzuri sana wa super man
 
umetisha mwanangu
me napenda movie ya V
journey to west AKA SHIVOOOOO
QUEEN OF SOAD
THE CROW
BEAST MASTER
KARTOON YA POPEYA JAMAA ANABUGIA VITU FLANI ALAFU ANAVIMBA MIKONO NA MIGUU HAHAHAAAAAAA
Spinach.....
 
Hii movie bana ilikuwa na ma character ambao wananyofoka ngozi ikivutwa tuu inatoka yotee then damu ya mwilini nilikuwa yakijani tuu. Aidha walipenda kuvaa nguo rangi nyekundu na kusafiri kwenda angani kwa mtambo kama sahani hivi. That's V
Hii ilikuwa ni story ya eliens ambao walikuwa ni reptilia in nature ( yaani jamii ya mijusi) walikuja duniani kuchukua maji maana kwao yaliisha sasa ili wachukue ikabidi wateke binadamu na kuwageuza watumwa ili wachukue maji wasepe.......sikumbuki ilikuwa ni episode ya ngapi utaona zile space ships zao zimetia nanga duniani zimeingiza mabomba kwenye ardhi zinanyonya maji. Jamaa kuwapatia wakatumia pilipili nyekundu kuwakomoa ......duh mwishoni walifanikiwa......wadudu walisepa.....

Walikuwa wanameza panya mzima mzima.......paka....ndege......halafu kulikuwa na kile kigeneral cha kike kilikuwa na roho mbaya kama nini........

Kuna msichana akadate na mojawapo wa wale wadudu waliomua kujitenga na wenzao na kuwasaidia binadamu......demu akashika ujauzito......siku ya kujifungua akapata kitoto kama kenge maana ndio asili ya baba yake hadi avalishwe ngozi ya binadamu ndio anakuwa anaonekana mwanadamu.
 
saa kumi na moja mkuu sio kumi na mbili.......nakumbuka hii kitu.......ukiwasha unakuta mlio qa signal tu na hakuna picha ni display ya rangi tofauti tofuti kuanzia saa tisa kama sikosei ila kurudi nyuma saa nane au saba na zaidi huwa ni chenga tu.
 
ITV mwsho wa mwaka wanaweka sinema ya Van Damme na Dolph Lundgren. Saa 5 mpk 7 usiku.
That day wameweka ilipofika kile kipande van damme anamwambia yule dada amtoe ile ki chip mguuni ndipo mshua akaanza nongwa zake mara ooooh nyie kesho si shule.......ukimwambia ni leo ijumaa anakwambia haya mkalale mkue.
 
Sana tu mkuu,alikua na pikipiki yake hatarii,na jamaa Fulani mchina hivi alikua muoga kishenzi
Bobby hakuwa mchina ni Red indian.......yaani wale American indigenous au natives.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…