Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ni la mujer de mivida .Nakumbuka tamthilia ya La mujer de lorenzo, ITV. Kale kawimbo kake kalikuwa katamu sana. Mpaka leo bado nakasikiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni la mujer de mivida .Nakumbuka tamthilia ya La mujer de lorenzo, ITV. Kale kawimbo kake kalikuwa katamu sana. Mpaka leo bado nakasikiliza.
Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........Neighbours
21 jump street
Nani anakumbuka hizo
Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........halafu mkali mwingine mule ndani ni johnny Depp.........Neighbours
21 jump street
Nani anakumbuka hizo
Ha ha ha ha kuna madogo huwa nawatesa sana nikiwapa story za kadi za sim za prepaid kama GSM......nikiwahadithia kuhusu Kadi poa......tritel.......buzz yaani nawanyima amani kabisa maana hawana la kuchangia maana ni vitu wamevisikia tu na hawajawahi viona.Tangazo la Mobitel now you talking nalimis pia aisee
Lipo Youtube......yaani ikifikaga chrismass najiwekea mwenyewe halafu napretend nimerejea kipindi kile da......yaani lile tangazo lilikuwa na mzuka balaaaMimekumbuka pia Tangazo la Coca cola la father krismas ITV lilikuwa la msafara mrefuu wa magari ya coca cola nilikuwa nalipenda sana wakati wa krismas
Hivi huyu "Hologram lady" alikuwa anaitwa nani....?!
Aaaaaaaah nimekumbuka......huyu "HOLOGRAM Assistant" alikuwa anaitwa " salma" maana alikuwa anamwita sana.......alikuwa abatokea kama jini hivi halafu alikuwa na uwezo wa kucontrol vitu halafu jamaa alikuwa na kiremote ambacho akikibonyeza aidha unazimia au anakupoteza unatoweka unarudi kwenye past yako.Yeah kweli kabisaa mimi niliwahi kudownload film zake karibu tano hivi![]()
![]()
![]()
Ha ha ha ha ha Huyu ndio kidume dawa ya General Zoad.............halafu jamaa alipata ajari akapooza mwili nzima......amefariki tayari masikini ila alikuwa na muonekano mzuri sana wa super man
na bado hadi leo bado ni ya kishambaumeisahau TvT ilikua tz ya kidwanzi kwel kweli na yule mjaamaa amevaa ngozi ya chui anapliza pembe la ng'ombe wakati wa taarifa ya habari daah tv ya kishamba ile we acha tu....
Alikuwa anaitwa Captain Lambert......na huyo computer lady wake alikuwa anaitwa Salma.Lugendo alikuwa anaitwa nani huyu?
Spinach.....umetisha mwanangu
me napenda movie ya V
journey to west AKA SHIVOOOOO
QUEEN OF SOAD
THE CROW
BEAST MASTER
KARTOON YA POPEYA JAMAA ANABUGIA VITU FLANI ALAFU ANAVIMBA MIKONO NA MIGUU HAHAHAAAAAAA
V ni for VICTORY........ngoja nitakupa link.hivi ile movie ya V ikiitwaje maanaa since wayback naisaka siioni
Hii ilikuwa ni story ya eliens ambao walikuwa ni reptilia in nature ( yaani jamii ya mijusi) walikuja duniani kuchukua maji maana kwao yaliisha sasa ili wachukue ikabidi wateke binadamu na kuwageuza watumwa ili wachukue maji wasepe.......sikumbuki ilikuwa ni episode ya ngapi utaona zile space ships zao zimetia nanga duniani zimeingiza mabomba kwenye ardhi zinanyonya maji. Jamaa kuwapatia wakatumia pilipili nyekundu kuwakomoa ......duh mwishoni walifanikiwa......wadudu walisepa.....Hii movie bana ilikuwa na ma character ambao wananyofoka ngozi ikivutwa tuu inatoka yotee then damu ya mwilini nilikuwa yakijani tuu. Aidha walipenda kuvaa nguo rangi nyekundu na kusafiri kwenda angani kwa mtambo kama sahani hivi. That's V
saa kumi na moja mkuu sio kumi na mbili.......nakumbuka hii kitu.......ukiwasha unakuta mlio qa signal tu na hakuna picha ni display ya rangi tofauti tofuti kuanzia saa tisa kama sikosei ila kurudi nyuma saa nane au saba na zaidi huwa ni chenga tu.Channel 10 kulikuwa na movie ya Mr T na Knight Rider (maarufu kama maiko, maiko - jamaa ana gari lake hilo lina fujo balaa) pia kulikuwana igizo la kutisha lilikuwa linaitwa Mmsai na Ng'ombe Wake
ITV kwanza picha linaanza matangazo yanafunguliwa saa 12 jioni hadi saa 6 usiku, walikuwa na vichekesho vya Perfect Strangers, Hang in with Mr. Cooper pia kulikuwana movie ya TimeTrax, Beast Master, Pointman na kipindi cha Jackpot Bingoooo!!!
Dah kulikuwaga raha sana.
Yes........i guess ni Visitor kama sio Victorynimeipata ile movie kk itafte inaitwa Visitors (V franchise)
That day wameweka ilipofika kile kipande van damme anamwambia yule dada amtoe ile ki chip mguuni ndipo mshua akaanza nongwa zake mara ooooh nyie kesho si shule.......ukimwambia ni leo ijumaa anakwambia haya mkalale mkue.ITV mwsho wa mwaka wanaweka sinema ya Van Damme na Dolph Lundgren. Saa 5 mpk 7 usiku.
Halafu huyu si ndio alikuwa ni mkuu wao
Bobby hakuwa mchina ni Red indian.......yaani wale American indigenous au natives.Sana tu mkuu,alikua na pikipiki yake hatarii,na jamaa Fulani mchina hivi alikua muoga kishenzi
Huyo jamaa black alikuwa ni mbabe anamsaidia huyo bwege kupata demuBila kusahau house party
Walikuwa wanaiwekaga CTN
![]()