Okay nakutumia na pia nitaliweka hapa ili hata madogo waone jinsi lile tangazo aliyelitengeneza alivyokuwa na upako......miaka karibuni 20 imepita tangu litengenezwe ila hadi leo ukiliweka linabamba kuyashinda matangazo ya sasa.Ntumie kiongozi +27784696692
Ndio ujue dogo kuwa siku hizi maisha si kama zamani nyie hamfaidi kama sisi kaka zenu na wajomba zenu dadadekiDuh, hapa naona wazee tuu maana enzi hizo hata kutembea bado sana
Ndio ujue dogo kuwa siku hizi maisha si kama zamani nyie hamfaidi kama sisi kaka zenu na wajomba zenu dadadeki
Watoto wanaofaidi hii miaka wapo ulaya......ninyi wa afrika dah mna wakati mgumu sana.........yaani watoto wa sasa m'menyang'anywa uhuru wenu watoto wadogo mnaishi kama watu wazima........mnaona vitu vya ajabu katika umri mdogo......shule mnazomeshwa makorokoro mengi......hamna muda wa kucheza......nyie na magame ya computer na tv vitu ambavyo vina madhara katika mwili na akili........vipindi sasa hivi kwenye tv hakuna.....yaani vilivyopo vinaboa..........mnapiga punyeto kama bia wakati sisi miaka ya 1990's mtu unakuwa unajua hiyo dude ni ya kujojolea tu na sio ya kufanyia mchezo mbaya.........kulikuwa hakuna tamaa ya kupiga pamba sijui kwenda club.....bange na pombe vilikuwa mwiko kabisa tuliviogopa kama ukoma sasa hivi watoto wa darasa la tatu wanavuta bangi......wanabakana wanalawitiana.......wanafany mchezo mbaya....wanakunywa viroba.....shaaaaaaah dogo nawaonea huruma sana na ndio maana sasa hivi madogo ni majeuri halafu adabu hamna na future zenu zinaukakasi.Yes, ni kweli yakuwa sisi hatuwezi kufaidi kama nyie miaka hio, sababu hio miaka ilikuwa kwaajili yenu tu kaka, na kwa kusudi lenu ... Lakini nanyi hamuwezi kufaidi miaka hii kama sisi tunavyofaidi, sababu hiki ni kipindi chetu na tunahudumia kusudi letu.
Watoto wanaofaidi hii miaka wapo ulaya......ninyi wa afrika dah mna wakati mgumu sana.........yaani watoto wa sasa m'menyang'anywa uhuru wenu watoto wadogo mnaishi kama watu wazima........mnaona vitu vya ajabu katika umri mdogo......shule mnazomeshwa makorokoro mengi......hamna muda wa kucheza......nyie na magame ya computer na tv vitu ambavyo vina madhara katika mwili na akili........vipindi sasa hivi kwenye tv hakuna.....yaani vilivyopo vinaboa..........mnapiga punyeto kama bia wakati sisi miaka ya 1990's mtu unakuwa unajua hiyo dude ni ya kujojolea tu na sio ya kufanyia mchezo mbaya.........kulikuwa hakuna tamaa ya kupiga pamba sijui kwenda club.....bange na pombe vilikuwa mwiko kabisa tuliviogopa kama ukoma sasa hivi watoto wa darasa la tatu wanavuta bangi......wanabakana wanalawitiana.......wanafany mchezo mbaya....wanakunywa viroba.....shaaaaaaah dogo nawaonea huruma sana na ndio maana sasa hivi madogo ni majeuri halafu adabu hamna na future zenu zinaukakasi.
dah hii mpaka leo naicheki cbs drama.... haiishi utamuView attachment 446429 enzi hizoo family matters
HHahha Naona amekuboa sn Kaka msamehe tuuWEWE.......BROO.....OYAAAA.....WEWE.......HEBU TUONDOLEE USHUZI WAKO HAPA.......YAANI SISI TUNA GO BACK INTO TIME.....TUNAKUMBUSHANA GOOD MEMORIES.......TUNAKUMBUSHANA MAMBO YA UTOTONI MAMBO YANAYOTUPA FARAJA KIPINDI HIKI AMBACHO FARAJA NI BIDHAA ADIMU WEWE UNATOKA HUKO NA USHUZI WAKO WA SIASA UNAKUJA KUUJAMBIA HAPA......HEBU TOKA UKOOOOO LIONE KWANZA.......MAJITU MENGINE SIJUI YAKOJE.....TOKA HAPA HARAKA MWANGA MKUBWA WEWE[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji298] [emoji375] [emoji382] [emoji380] [emoji379] [emoji378]
Haya tulia basi dogo.....soma vimbwanga vyetu vya miaka hiyo wakati ukiwa bado kabisa uwepoTafadhari nitake radhi, usiwe mwepesi kuweka conclusion kirahisi rahisi namna hio.
Kumbuka kuwa, sio wote wenye tabia mbovu, sio wote wanao tenda uovu.
Infact, waovu wapo, na hata kwenye wakati wenu.
Yaani anaona gari la polisi anakuja kututangazia biashara ya bangi ........punguwani wahedi kabisa huyu.HHahha Naona amekuboa sn Kaka msamehe tuu
View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haaa haaa! Kumbe wapenzi wa hii tuliukwa wa kutosha eehWakuu itifaki lazima izingatiwe msimsahau shivooo kwenye ile tamthiliya ya kichina kama sikosei inaitwa a journey to the west
Basil nani yule naye yuko wapi Siku hizi alikua anatangaza habari
Mzee rinorence huyo