Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Hivi huyu "Hologram lady" alikuwa anaitwa nani....?!
Alikuwa anamsaidia sana camptain Lambert.......kitu kama ethma ingawa sina uhakika jina limenitoka.
Alikuwa anaitwa Elizabeth Alexander
 
Haaaah haaaah! Africa soccer show chini ya uzamini wa beer ya castle larger wenyewe walipenda kuiita beer balanced to perfection. ITV walikuwa na vipindi kama vya magic moment na Vibe.
Hiyo magic moment ilikuwa mishiidaa vituko kibaoooo
 
jamani SUZAN MUNGI Yuko wapi??? she's super beautiful nilikuwa sikosi taarifa ya habari ili nimuangalie tu yeye
Yupoo huwa namcheki Instagram huyu Dada nampenda ameshakuwa mama
1481794249868.png
1481794262626.png
huyu hapa Suzan Mongi
 
ITV vipindi vya muziki mida ya saa kumi jioni, -music kasi kasi,music jam adelic,music rastrus
 
2e1d814537348e0597a0c2b7a0795d8e.jpg

hawa mnawakumbuka? Zamani ilikuwaga raha sana ikifika saa kumi nishaoga nakaa naanza kuangalia cartoon ukitaka za yesu kipindi kama hiki unaweka trinity kama cjakosea jina ukitaka mchanganyiko unaweka Chanel ten ndo walikuaga wababe wa cartoons
7c0471cfbdf92e121fd03c6b843b3f79.jpg
Dah katuni nilikuwa naipenda balaa hii.
 
Yeeeees unajua toka thread hii ianze nilikuwa nawaza comish hii, hivi ilikuwa ni tamthiliya au movie?? Mwenye video yake hata inavyoanza atupie kidogo tukumbuke jamani long time sn tupieni video
ilikuwa ni tamthiria.....
 
Alikuwa anaitwa Elizabeth Alexander
Kwenye tamthiria sio jina lake halisi......yaani kama huyu actor anavyoitwa Captain Lambert.....yule mwanamke alikuwa anamwita salma kwenye tamthiria sio jina lake halisi.
 
Miaka hiyo kabla kidogo ya ITV Radio One Majira Mipashe et al kulikua na MFANYAKAZI gazeti la Juwata ambapo kuna mwandishi aliitwa STAN KATABALO aliuawa japo haijulikani na nani.

Ndie alikua mstari wambele kuandika kuhusu Loliondogate kwa mapana na marefu. Akaonyesha jinsi utawala umeuza kipande cha nchi kwa waarabu.

Miaka 20 baada ya hao kina CTN DTV ITV et al Loliondogate bado ni mwiba kooni.

Na ndio kipindi ambacho Maxence Melo ameshikiliwa eti atoe majina ya wajumbe JF. Anayajuaje? Si wana TCRA wachunguze? Ule mtambo ulinunuliwa wa nini?

Ndo msimu huu BEN SAANANE kapotea. Kisa anahoji elimu ya PhD ya Magu.

Miaka hiyo nakumbuka mengi sana. Ila kuna kipindi kinaitwa LEA MWANA kilikua ITV walipoanza tu. Walikua waKenya.

Enzi hiyo Kenya ikiwa chini ya mdhalimu Moi. Miaka 20 baadae tunaanza kuona dalili za Kimoimoi humu Tz.

Lema yuko ndani kisa kawa mtabiri. Yule sheikh tapeli kama mzee wa upako alikua anasema ataempinga JK atakufa na hakuna aliemgusa. Upumbavu hauezi zidi huo.

Huyo mzee wa upako anasema waandishi wanaompinga watakufa na tarehe kataja na hamna anaemgusa kisa kaahidiwa barabara FEKI.
 
Hahahah hebu nipatie linaitwaje mi njjngie YouTube nilicheki mkuu pls Fanya hivyoo
Yapo mengi ya maroli ya coca cola ila lile la kwanza tamu kabisa ili ulipate ingia youtube halafu search

"Coca- cola classic christmas 90's TVC"

utaliona na kama hautalipata ninalo nitakupatia hata whatsapp.......maana nimeshaliweka kwenye sim taayari kwa kujiwekea na kuliangalia christmas hii......dah yaani hili tangazo lina mzuka balaaa.......yale maroli yanavyowaka mataa.......halafu kila yanapopita yanaacha mwanga na mataa yanawaka.......dah......na mwishoni kabisa ni pale yule mzee na mtoto wake wa kiume wanarudi home sijui wapo kwenye pikapu yao dah so touchy yaani......nikilitazama linanikumbusha utoto wangu dah......yaani huwa napata kafuraha fulani amazing as if niko peponi hivi.......[emoji56] [emoji94] [emoji92] [emoji93] [emoji268] [emoji293] [emoji292] [emoji320] [emoji319] [emoji318] [emoji321] [emoji320] [emoji322] [emoji323]
 
Ntumie kiongozi +27784696692
 
Miaka hiyo kabla kidogo ya ITV Radio One Majira Mipashe et al kulikua na MFANYAKAZI gazeti la Juwata ambapo kuna mwandishi aliitwa STAN KATABALO aliuawa japo haijulikani na nani.

Ndie alikua mstari wambele kuandika kuhusu Loliondogate kwa mapana na marefu. Akaonyesha jinsi utawala umeuza kipande cha nchi kwa waarabu.

Miaka 20 baada ya hao kina CTN DTV ITV et al Loliondogate bado ni mwiba kooni.

Na ndio kipindi ambacho Maxence Melo ameshikiliwa eti atoe majina ya wajumbe JF. Anayajuaje? Si wana TCRA wachunguze? Ule mtambo ulinunuliwa wa nini?

Ndo msimu huu BEN SAANANE kapotea. Kisa anahoji elimu ya PhD ya Magu.

Miaka hiyo nakumbuka mengi sana. Ila kuna kipindi kinaitwa LEA MWANA kilikua ITV walipoanza tu. Walikua waKenya.

Enzi hiyo Kenya ikiwa chini ya mdhalimu Moi. Miaka 20 baadae tunaanza kuona dalili za Kimoimoi humu Tz.

Lema yuko ndani kisa kawa mtabiri. Yule sheikh tapeli kama mzee wa upako alikua anasema ataempinga JK atakufa na hakuna aliemgusa. Upumbavu hauezi zidi huo.

Huyo mzee wa upako anasema waandishi wanaompinga watakufa na tarehe kataja na hamna anaemgusa kisa kaahidiwa barabara FEKI.
WEWE.......BROO.....OYAAAA.....WEWE.......HEBU TUONDOLEE USHUZI WAKO HAPA.......YAANI SISI TUNA GO BACK INTO TIME.....TUNAKUMBUSHANA GOOD MEMORIES.......TUNAKUMBUSHANA MAMBO YA UTOTONI MAMBO YANAYOTUPA FARAJA KIPINDI HIKI AMBACHO FARAJA NI BIDHAA ADIMU WEWE UNATOKA HUKO NA USHUZI WAKO WA SIASA UNAKUJA KUUJAMBIA HAPA......HEBU TOKA UKOOOOO LIONE KWANZA.......MAJITU MENGINE SIJUI YAKOJE.....TOKA HAPA HARAKA MWANGA MKUBWA WEWE[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji298] [emoji375] [emoji382] [emoji380] [emoji379] [emoji378]
 
Back
Top Bottom