Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo magic moment ilikuwa mishiidaa vituko kibaooooHaaaah haaaah! Africa soccer show chini ya uzamini wa beer ya castle larger wenyewe walipenda kuiita beer balanced to perfection. ITV walikuwa na vipindi kama vya magic moment na Vibe.
Daa umenikumbsha mbali mkuu asante sanaView attachment 446428 Hiyo hapo mkuu long time sn
Ume edit nini we jamaa[emoji28] ........ha ha ha ha ha ha[emoji23] haya umeshinda best nilikosea mimi.
Dah katuni nilikuwa naipenda balaa hii.![]()
hawa mnawakumbuka? Zamani ilikuwaga raha sana ikifika saa kumi nishaoga nakaa naanza kuangalia cartoon ukitaka za yesu kipindi kama hiki unaweka trinity kama cjakosea jina ukitaka mchanganyiko unaweka Chanel ten ndo walikuaga wababe wa cartoons
![]()
Basi nimekubali nilikuwa nakubishia ili nishinde tu........yaishe we jembe khaaaaah[emoji23]View attachment 446423 hu hapa ushahidi hahahaha
ilikuwa ni tamthiria.....Yeeeees unajua toka thread hii ianze nilikuwa nawaza comish hii, hivi ilikuwa ni tamthiliya au movie?? Mwenye video yake hata inavyoanza atupie kidogo tukumbuke jamani long time sn tupieni video
Ngoja nikiiona ntakutonya.....Instagram anatumia id gani mkuu
Kwenye tamthiria sio jina lake halisi......yaani kama huyu actor anavyoitwa Captain Lambert.....yule mwanamke alikuwa anamwita salma kwenye tamthiria sio jina lake halisi.Alikuwa anaitwa Elizabeth Alexander
Ile ilikuwa tam sana hivi haina series?Tamthilia ya The passion, nmemkumbuka timmy, bibi mchawi tabitha, kay, miguel, simone
Pia The crow
Yapo mengi ya maroli ya coca cola ila lile la kwanza tamu kabisa ili ulipate ingia youtube halafu searchHahahah hebu nipatie linaitwaje mi njjngie YouTube nilicheki mkuu pls Fanya hivyoo
Ntumie kiongozi +27784696692Yapo mengi ya maroli ya coca cola ila lile la kwanza tamu kabisa ili ulipate ingia youtube halafu search
"Coca- cola classic christmas 90's TVC"
utaliona na kama hautalipata ninalo nitakupatia hata whatsapp.......maana nimeshaliweka kwenye sim taayari kwa kujiwekea na kuliangalia christmas hii......dah yaani hili tangazo lina mzuka balaaa.......yale maroli yanavyowaka mataa.......halafu kila yanapopita yanaacha mwanga na mataa yanawaka.......dah......na mwishoni kabisa ni pale yule mzee na mtoto wake wa kiume wanarudi home sijui wapo kwenye pikapu yao dah so touchy yaani......nikilitazama linanikumbusha utoto wangu dah......yaani huwa napata kafuraha fulani amazing as if niko peponi hivi.......[emoji56] [emoji94] [emoji92] [emoji93] [emoji268] [emoji293] [emoji292] [emoji320] [emoji319] [emoji318] [emoji321] [emoji320] [emoji322] [emoji323]
WEWE.......BROO.....OYAAAA.....WEWE.......HEBU TUONDOLEE USHUZI WAKO HAPA.......YAANI SISI TUNA GO BACK INTO TIME.....TUNAKUMBUSHANA GOOD MEMORIES.......TUNAKUMBUSHANA MAMBO YA UTOTONI MAMBO YANAYOTUPA FARAJA KIPINDI HIKI AMBACHO FARAJA NI BIDHAA ADIMU WEWE UNATOKA HUKO NA USHUZI WAKO WA SIASA UNAKUJA KUUJAMBIA HAPA......HEBU TOKA UKOOOOO LIONE KWANZA.......MAJITU MENGINE SIJUI YAKOJE.....TOKA HAPA HARAKA MWANGA MKUBWA WEWE[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji298] [emoji375] [emoji382] [emoji380] [emoji379] [emoji378]Miaka hiyo kabla kidogo ya ITV Radio One Majira Mipashe et al kulikua na MFANYAKAZI gazeti la Juwata ambapo kuna mwandishi aliitwa STAN KATABALO aliuawa japo haijulikani na nani.
Ndie alikua mstari wambele kuandika kuhusu Loliondogate kwa mapana na marefu. Akaonyesha jinsi utawala umeuza kipande cha nchi kwa waarabu.
Miaka 20 baada ya hao kina CTN DTV ITV et al Loliondogate bado ni mwiba kooni.
Na ndio kipindi ambacho Maxence Melo ameshikiliwa eti atoe majina ya wajumbe JF. Anayajuaje? Si wana TCRA wachunguze? Ule mtambo ulinunuliwa wa nini?
Ndo msimu huu BEN SAANANE kapotea. Kisa anahoji elimu ya PhD ya Magu.
Miaka hiyo nakumbuka mengi sana. Ila kuna kipindi kinaitwa LEA MWANA kilikua ITV walipoanza tu. Walikua waKenya.
Enzi hiyo Kenya ikiwa chini ya mdhalimu Moi. Miaka 20 baadae tunaanza kuona dalili za Kimoimoi humu Tz.
Lema yuko ndani kisa kawa mtabiri. Yule sheikh tapeli kama mzee wa upako alikua anasema ataempinga JK atakufa na hakuna aliemgusa. Upumbavu hauezi zidi huo.
Huyo mzee wa upako anasema waandishi wanaompinga watakufa na tarehe kataja na hamna anaemgusa kisa kaahidiwa barabara FEKI.