Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994


Kwani marashi yake ni tulivu na huniweka fresh, mchana kutwa. Alafu anatoa tabasamu moja lainiii na nyororo mithili ya sufi hadi leo nalikumbukaaaa
 
Tamthiliya ya haina na hasani ya wakenya ilikua inaoneshwa itv wakapotea msituni wakawa wanatafutwa utoto nilikua najua kweli
 
Neighbor, everybody need good neighbor........ Halafu kulikuwa na mziki wa kibongo unasumbua enzi hizo sijui nani kapiga. Kukurukakala zako wewe zitakuponza acha we acha we, kukurukakala zako wewe zitakuponza brother sister.

KKZ kukuru kakara zako aliimba Sos B
 
Kuna tamthilia ilikuwa inaitwa SUNSET BEACH balaaa saaana mpaka shule kwetu enzi hizo Forodhani ya kina Munira,Hemed Kavu,Hamisi Makaveli ilikuwa moto.....tukapatunga sehemu karibu na geti etiii SUNSET BEACH

Kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Fina ana figure namba 8 hadi leo cjaona mfano wake
 

Bafana bafana 96 hio nadhani, Mac Fish, Dr Khumalo, Ladebe
 
Isidingo the need , na bado kitu kinawasha moto hatare


Isidingo ilikuja baada ya egol, nakumbuka kipindi hiko kulikuwa na passions ya kina ethan crane na theresa, hii ni baada ya sunset beach ya kina ben, meg, tim
 
Tamthilia ya The passion, nmemkumbuka timmy, bibi mchawi tabitha, kay, miguel, simone
Pia The crow


Mr julian crane na mkewe ivy(ivy alizaa nje ya ndoa mtoto aliyeitwa ethan crane) ethan na gwen baadae akamuoa theresa,Whitney na simon watoto wa doctor Russell (eve), chad mtoto wa julian na dct Russell, tabitha na tim, charity, kay, sam, sheridan na luis, pastor kipofu, pawler mama yao (luis, theresa, david na miguel) mrs hotchkis mama yke gwen, dah, ilikuwa hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…