Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Enzi hizo nakaa M/mala natoka shule pale Mwinyuma nakuta watu kibao...!!kuuliza Siti kaja nkamuambia konda nshushee...
Mbio mpk kwao na nisimuone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha!! Mimi sikuamini kabisa nilidhani stori za mtaani tu, yani sikuamini katu katu [emoji3] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…