Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Days of our lives.

Nimewakumbuka hawa.

Dr malena Evans

John black

Anton dimella

Stephano dimella

Victor kiriakis

Dr Alfredo Mendez

Hope

Bo bread

Bill bread

Jack Devon

Shwan D


Father Francis

Jennipher ndugu Wa jack

Daaah zama zile tuliicheki CTN na DTV ilikuwa bomba mbaya.

Nakumbuka mtaani kwetu sisi tu ndo tulikuwa na na TV ya Hitachi nchi 14 chogo kina sauti ova redio.

Sasa ukifika muda Wa kucheki bonge la nyomi la majirani wanakujaa sebuleni kucheki.

Wakiondoka wanatuachia kifusi cha mchanga sakafuni

Daaah I miss those times
 
Nakumbuka kipindi kinaitwa Mtaa wa mangoma ambacho kulikuwa kinaendeshwa na Moses Justin ambae ni marehemu sahv....na chombeza time
 
Movie ya V nitaikumbuka Sana'a na comedy shows za black american will smith.
 
The bold and the beautiful

Enzi izo itv
bold-and-the-beautiful-soap-debuts-03-23-1987.jpg
 
Back
Top Bottom