Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazikumbuka ilikua hata ukiamka saa kumi usiku unazikuta zinaonyeshwaCTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi. [emoji3][emoji3][emoji3]
ShivooooooView attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni pasco huyu naemuona hukuuDTV Kitimoto kipindi cha Pasco mayalla , kabla hakijaamia ITV
Gari ilikua inajiendesha yenyew
We noma sana [emoji115] umekategoraiziITV walikuwa the best
V
Mortal kombat
A- team
The simpson
The Fresh Prince
The cosby show
Family Matters
Perfect strangers
CTN
Cartoon Networks
TNT
DTV
Superman
Knight Rider
The X- Files
Batman cartoon
Samorai X
Laki moja na elf 35Kingamuzi cha azam ni bei gan kwa sasa wakuu
Mkuu acha Kabisa zamani ilikuwa tamu sanaa acha kabisaaDah aisee hizo memories zimenibamba kinyama.Enzi Mr.T na the A Team.Love thy neighbour ile tamthiria kijamaa kina upara kinaruka kamba na watoto.Police Academy.
Miziki ya west Africa kina Yossou Ndou,Angelica kidjo.
Kuna the roots ya kina kunta kinte.
Kale katoto kaliimba "Tanzania eeh nakupenda... alichanganya na kijapan.
Football enzi za kina babayalo,uche ukochuku hiyo Atlanta olympic 1996.pia enzi za kina Mc Fish yaani nilikuwa nimebandika stickers zao nyuma ya mlango.