Tukumbushane visa vya pombe

Viapo nilivyoapa kuhusu kuacha pombe vyote ni fake!!
Em angalia safari lager ya m 500 sasa hivi ni tsh 2000 tu!
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
 
Kuna uzi mwingine wa visa vya pombe... mods
 
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
hahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengi
halafu tungi ndio lilinifanya nikutongoze ujue....
 
hahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengi
halafu tungi ndio lilinifanya nikutongoze ujue....
Hhahaaa
Mwanao anakuulizia huku.
Ila we mjamaa...simi yako uliipata pale Manyanya?
 
Wewe ndo mshindi mpaka muda huu
 
Nlishawai lewa tilalila arush pale babelon nlijikuta nimelal mezani adi asubui saa 1 wanafanya usafi na washkaj zang 2 wot tikat moto konyagi sio nzur
 
Mi nakumbuka nililewa siku moja valeur mixer virikuu nikapoteza network!
Nakuja kushtuka asubuhi geti Iipo wazi milango ipo halafu radio inapiga mziki mpaka mwisho na Nina ngeu usoni sikumbuki hata nilifikaje home mpaka leo!!
Hahahahahahaha
 
Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…