Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.Viapo nilivyoapa kuhusu kuacha pombe vyote ni fake!!
Em angalia safari lager ya m 500 sasa hivi ni tsh 2000 tu!
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.Viapo nilivyoapa kuhusu kuacha pombe vyote ni fake!!
Em angalia safari lager ya m 500 sasa hivi ni tsh 2000 tu!
Sanaaaaa.
Yaani jamani bia tamu...sijui zimewekwa nini
Halafu hutaki asogee mtu yaani walila peke yakoHahahaaa. Lol.
Yaani walila huku wataka lisiishe. Lol [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
hahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengiAfu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
Kweli aisee tutawagonga sana!Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
Hahahaaa. Kabisaaaa.Halafu hutaki asogee mtu yaani walila peke yako
Kiukweli sijawahi kuiona![]()
nasikia hii bia ipo mjini????ya kweli haya
Mbona husemi vituko vyako ukilewa? Au niviseme mimi [emoji12]Naomba kuwasikishaView attachment 821136View attachment 821137
Hhahaaahahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengi
halafu tungi ndio lilinifanya nikutongoze ujue....
HahahhahahaKweli aisee tutawagonga sana!
Halafu amna kitu nachukiaga kama empty glass
Wewe ndo mshindi mpaka muda huuAsee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao
Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!
Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote
Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji
Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani
Ntaendelea mengine nikikumbuka
My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
hahaha kausha nitakutafutaHhahaaa
Mwanao anakuulizia huku.
Ila we mjamaa...simi yako uliipata pale Manyanya?
HahahahahahahaMi nakumbuka nililewa siku moja valeur mixer virikuu nikapoteza network!
Nakuja kushtuka asubuhi geti Iipo wazi milango ipo halafu radio inapiga mziki mpaka mwisho na Nina ngeu usoni sikumbuki hata nilifikaje home mpaka leo!!
Ya kienyejiYule alopiga pushup Ni pombe gani ile?
😀😀😀Nlishawai lewa tilalila arush pale babelon nlijikuta nimelal mezani adi asubui saa 1 wanafanya usafi na washkaj zang 2 wot tikat moto konyagi sio nzur