Tukumbushane visa vya pombe

Tukumbushane visa vya pombe

Viapo nilivyoapa kuhusu kuacha pombe vyote ni fake!!
Em angalia safari lager ya m 500 sasa hivi ni tsh 2000 tu!
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
 
Kuna uzi mwingine wa visa vya pombe... mods
 
Sanaaaaa.
Yaani jamani bia tamu...sijui zimewekwa nini
ci-budweiser-fa5d013b6364dead.jpeg

nasikia hii bia ipo mjini????ya kweli haya
 
Afu nasikia tarehe 1 ni sh buku.
Hahahahah.....tutagongwa mpaka tupate mimba
hahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengi
halafu tungi ndio lilinifanya nikutongoze ujue....
 
hahahahaha aiseeee ila mi naamini ngano kidogo maji yatakua mengi
halafu tungi ndio lilinifanya nikutongoze ujue....
Hhahaaa
Mwanao anakuulizia huku.
Ila we mjamaa...simi yako uliipata pale Manyanya?
 
Asee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao

Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!

Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote

Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji

Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani

Ntaendelea mengine nikikumbuka

My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
Wewe ndo mshindi mpaka muda huu
 
Nlishawai lewa tilalila arush pale babelon nlijikuta nimelal mezani adi asubui saa 1 wanafanya usafi na washkaj zang 2 wot tikat moto konyagi sio nzur
 
Mi nakumbuka nililewa siku moja valeur mixer virikuu nikapoteza network!
Nakuja kushtuka asubuhi geti Iipo wazi milango ipo halafu radio inapiga mziki mpaka mwisho na Nina ngeu usoni sikumbuki hata nilifikaje home mpaka leo!!
Hahahahahahaha
 
Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga
 
Back
Top Bottom