Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja tu.Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?
Alimfanya mamba kitu mbaya, almanusra amlawiti.Omari hodari kashinda vita hatari ooohh ooohhh
Hiyo Ngoma huwa inaniliza, duh.Nawasalimu shikamooni wazazi wangu
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote
Ushauri wao
Umeniletea mafanikio mema
Sasa naishi na watu vizuri eeh
Sasa naishi na watu vizuri eeh.......
Pokeen salamu zangu
Omari hodari kashinda vita hatari ooohh ooohhh
Ila Omary hata kwenye sita kwa sita nadhani alikuwa nomaMakali hodari kaenda safari yoho yoho katika safari kapiga kimamba yoho yoho
Yahudi mweusi kitambo sana hiyo kitPaulo usije kucheza na sisi una mikono michafu
Juma na Roza.Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?