Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ume google, no way 1977 ulikuwa darasa la pili 😀😀😀Makali hodari kaenda safari yoho yoho katika safari kapiga kimamba yoho yoho
Ume google, no way 1977 ulikuwa darasa la pili 😀😀😀
Kweli ya kale ni dhahabu!Omari hodari kashinda vita hatari ooohh ooohhh
Kweli ya kale ni dhahabu!Paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu
Kwa vipi mkuu?!Hivyo vitabu vimetudumaza sana Watanzania.
Hiyo hiyo miaka ya 1977_Manenge na mandawa ya lini?
Huo ni wimbo sio kitabu!Nawasalimu shikamooni wazazi wangu
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote
Ushauri wao
Umeniletea mafanikio mema
Sasa naishi na watu vizuri eeh
Sasa naishi na watu vizuri eeh.......
Pokeen salamu zangu
Sungura akarukia!Chopeko na mnofu
sizitaki mbichi hizi
Hicho ni secondary Mkuu!Chonya of chilonwa me
Vitabu vyenu vinasomekaje mkuu?!Wale wa 2009 dalasa la kwanza tu like hapa
Aliokota,akapata Nini ndani ya box!?Iyambile na box la kuokota.
Kimwakaleli unataka turudi class si ndy? Basi bwana, ndani ya box alikuta kuna mtoto ikabdi awaambie wazaz wake,wazazi wa iyambile wakampeleka mtoto ktk kituo cha kulelea watoto yatima.Aliokota,akapata Nini ndani ya box!?
Mwaka Gani hiyo?!Mzee Fukusi na mamba mla watu.
Umeruka sentensi zingine, hahhahaHuyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.
Baba ana Njaa.
Bado vipo wakuu?
Nilikisoma 1986 /87 huko kilikuwa cha stori huyo mzee alikuwa anawatupia mamba nyama ili watu wavuke kwenye mto. Watoto walikuwa wanamletea panya na wadudu wengine. Mzee Fukusi anawatupia wale panya na wadudu wengine wale mamba kule kwenye kivuko watu wanapiata.Mwaka Gani hiyo?!
Sawa Mkuu!Nilikisoma 1986 /87 huko kilikuwa cha stori huyo mzee alikuwa anawatupia mamba nyama ili watu wavuke kwenye mto. Watoto walikuwa wanamletea panya na wadudu wengine. Mzee Fukusi anawatupia wale panya na wadudu wengine wale mamba kule kwenye kivuko watu wanapiata.