Tukumbushane Vitabu vya shule Darasa la kwanza,la pili,1977

Tukumbushane Vitabu vya shule Darasa la kwanza,la pili,1977

Nawasalimu shikamooni wazazi wangu

Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote

Ushauri wao

Umeniletea mafanikio mema

Sasa naishi na watu vizuri eeh

Sasa naishi na watu vizuri eeh.......

Pokeen salamu zangu
Huo ni wimbo sio kitabu!
 
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.

Baba ana Njaa.

Bado vipo wakuu?
Umeruka sentensi zingine, hahhaha
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi.

Baba ana Njaa.

Bado vipo wakuu?

Ng'ombe wa Baba ni mnene...
Kimbia nyumbani...

Hivyo ilitakiwa isomeke hivi:-

"Huyu ni Baba,
Baba ana ng'ombe,
Ng'ombe wa Baba ni mweusi,
Ng'ombe wa Baba ni mnene,
Baba anasema,
Kimbia ng'ombe,
Kimbia upesi,
Kimbia nyumbani,
Baba ana njaa."
___
Nilikariri kitabu kizima, nikiona picha tu, nakusomea maandishi yote ya ukurasa huo, hahahhaa.
 
Mwaka Gani hiyo?!
Nilikisoma 1986 /87 huko kilikuwa cha stori huyo mzee alikuwa anawatupia mamba nyama ili watu wavuke kwenye mto. Watoto walikuwa wanamletea panya na wadudu wengine. Mzee Fukusi anawatupia wale panya na wadudu wengine wale mamba kule kwenye kivuko watu wanapiata.
 
Sawa Mkuu!
 
Back
Top Bottom