Tukumbushane vituko vilivyokutokea sikukuu ya wajinga

Tukumbushane vituko vilivyokutokea sikukuu ya wajinga

Nilidanganywa niende Ubungo kuna mzigo nimetumiwa
Na mimi bila kuwaza nikaenda..namuuliza niende ofisi gani
Ananiuliza leo tarehe ngapi vilee....hahahaa wee mwanaume wewe
Ulitaman kummezaaaa
 
Nakumbuka ilikua shule ya msingi geita miaka ya nyuma tukiwa watoto wa line police tulikwenda kugonga kengele na wanafunzi wote walipotoka tulichapa fimbo sana bila makosa
 
Nilidanganywa niende Ubungo kuna mzigo nimetumiwa
Na mimi bila kuwaza nikaenda..namuuliza niende ofisi gani
Ananiuliza leo tarehe ngapi vilee....hahahaa wee mwanaume wewe
Pole sana mkuu[emoji23] [emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona id zako zimeunganishwaa leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee hii danganya yako
Leo hata haiingian
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiseee kidogo nikawafungulie
Mods sired
 
Mi nakumbuka Nilikua njiro Arusha kuna jamaa flani akanipigia simu asubuhi sana akaniuliza upo wp nikamjibu nipo home njiro nanenane,, akaniambia acha ujinga ww toka haraka panda daladala njoo mjini hapa mnara wa mwenge Vodacom wanamwaga simu bure contena mbili,, Fanya haraka uchague unayotaka

Kwakweli nikikumbuka hili tukio hua najiona kweli Nilikua mjinga ile siku
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]
 
Wakuu huu Uzi ni kwa ajili ya kushare different stories ya umbandu mbandu uliokutokea sikukuu pendwa ya wajinga ..kwangu Mimi siji sahau siku ambayo swalehe alikuja kuniamsha kwamba nje kuna simba na chui na mtaa mzima umekimbia tumebaki sisi tuu na hang over za usingiz[emoji124] nilichokifanya ... Hebu share nasi kiroja kilichokukuta ... __ chai ruksa ila isikolee sana sukar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu share nasi Mkuu .... Mi Leo kuna jamaa kaniletea kadi ya harus hafu anayemwoa mamaeee ... Hii siku mbaya sana [emoji23] [emoji109] [emoji124]
 
Kuna Kaka Alimwambia Rafiki ake ampigie simu Mama yake mzazi ya kwamba amepata ajali mbaya(wkt mama anahaha kwenye simu na kulia ovyo ovyo )Bdy akatumwa MTU mwingine kusema Hakuna leo ni siku ya Wajinga.
Mama naye akaona asiwe nyuma.Akatumia Trick kumtuma MTU apige simu kwamba Mama yako baada ya kupata Simu yako.Kaanguka Ghafra na Ahemi tena tupo tunamkimbiza Hospitali(mpango ukafanyika wafanye kama kweli.
Mtoto MTU ilibidi apande gari lolote toka Dar mpaka Mbeya kwa mshtuko.
Kufika Mama kajaa teleeee anasuka ukiri.
 
Mi nakumbuka Nilikua njiro Arusha kuna jamaa flani akanipigia simu asubuhi sana akaniuliza upo wp nikamjibu nipo home njiro nanenane,, akaniambia acha ujinga ww toka haraka panda daladala njoo mjini hapa mnara wa mwenge Vodacom wanamwaga simu bure contena mbili,, Fanya haraka uchague unayotaka

Kwakweli nikikumbuka hili tukio hua najiona kweli Nilikua mjinga ile siku
Haaaaaaaaaaaaaa spati picha ulivyotoka nduki
 
Nyingine.
Kuna.mwaka ITV siku ya Leo walitangaza kwamba kuna ajira mpya .Kwamba wanahitaji watangazaji wafike waliomaliza form six kwa jili ya usaili.
Unaambiwa Getini kulijaa watu mfano Hakuna(kuna Dar wengi ni mamission Town)
Basi bwana wakati watu wapio nje wanazidi kujaa(kumbe kuna mwisho wa ujinga Yaani muda)
Sijui SAA 4 au 6)
Akatumwa mlinzi atangaze eti jamanii eeeeh Hakuna Kusailiwa wala kusajiriwa hapa Leo ni siku ya Wajingaaa.
Weeeee unaambiwa kama sio mlinzi kukimbilia ndani na kufunga Geti ilikuw a atolewe Rohoooo(Siku hii wengi huisahau hivyo kuleta madhara)
 
Back
Top Bottom