Yuko wapi sasa hivi huyu jamaa alikuwa anakiwasha sana?Nassoro Said 'Cholo'
Hata sijui mkuu.Yuko wapi sasa hivi huyu jamaa alikuwa anakiwasha sana?
Said Mwamba Kizota,katili huyu mtu hana huruma hata chembe,akienda juu na mshambuliaji lazima ampe kiwiko"kundandandeki"Yaani kati ya nafasi sisi Wabongo tumejaaliwa basi ni makipa na mabeki...
Tumeshawahi kuwa na mabeki wakatili mnooo, wastaarabu mno, wenye mapafu ya mbwa n.k n.k
Said SuedKila timu hizi kubwa huwa kuna nafasi za wachezaji uwanjani ambazo kila msimu wanakuwa na wachezaji mahiri sana yaani superstars
Naanza kuwataja wachezaji waliochezea namba mbili Simba Sports Club; Shabaan Baraza,Dawood Salum(Bruce Lee), Jamhuri Kiwelo, Isihaka Hassan Mwitu, Raphael Paul RP, Shomary Kapombe.