Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

satininus

Senior Member
Joined
Feb 11, 2021
Posts
135
Reaction score
171
Kila timu hizi kubwa huwa kuna nafasi za wachezaji uwanjani ambazo kila msimu wanakuwa na wachezaji mahiri sana yaani superstars

Naanza kuwataja wachezaji waliochezea namba mbili Simba Sports Club; Shabaan Baraza,Dawood Salum(Bruce Lee), Jamhuri Kiwelo, Isihaka Hassan Mwitu, Raphael Paul RP, Shomary Kapombe.
 
Said Sued
Nassoro Masoud Cholo
Juma Jabu
Shomar Kapombe
Kombo Aboubakari.
Hassan Kessy
David Kameta.
 
Back
Top Bottom