Tukumbushane Wachezaji wanaopiga wenzao Miba na Team zao

Hizi habari za mchezaji mmoja Mrefu wa team kongwe hapa Tz naye kuhusika kuwahujumu wenzie ni kweli? Jamaa Haram?
 
Huyu jamaa ni dhahiri kuwa ni mchawi haswa, alipokuwa Simba ilikuwa hivyo hivyo.....watu walimlalamikia sana na hakukuwa na mchezaji Simba alimpenda.
Acha kumchafua legend na kipenzi cha wana simba Juma K Juma kwa maneno yasiyo na uhakika kaseja alikuwa na uwezo mkubwa na ndio siri ya kuwa chaguo la kwanza wakati wote akiwa simba wala sio ushirikina na kama kaseja angekuwa mshirikina mbona hakumroga Ivo mapunda national team enzi za maximo na kaseja alisugua sana tu mbele ya Mapunda
 
Yeah Legend wa kichawi. Kaseja ni mshirikina sana. Ninaishi na wana Simba (Legends) hapa mtaani na wanamsema hivyo. Uzuri ni kwamba si hawa tu jamaa wanamsema Kaseja, jamaa ni mshirikina haswa na anafahamika mno kwa wenzake katika timu alizokuwa anachezea.
 
Kwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba.

Team moja kubwa hapa Dar ina mchezaji huyo nasikia ukiletwa namba yake hutodumu. Anakupiga misumali. Unapata jeraha hata ukiwa kitandani. Yaani unageuka kitandani usiku kiuno au goti linavunjika. Miezi 6 unapata matibabu.

Mwingine mkichuana kwenye namba ukipangwa wewe goli hulioni sehemu sahihi. Pale unapoliona goli ukashoot kumbe umelenga mpira kwenye kibendera cha kona. Watu hawakuelewi kabisa. Unaanza pigwa bench

Kuna kipa anasema siku akipangwa yeye huwa anaona mipira mitatu yote inakuja golini so anafanya kuotea tu halisi ni upi. Akikosea anadaka panzi ule halisi unaingia golini.
Sasa hapo ndio umekumbusha nini? Taja majina uelewele achana na habari za kusikia
 
Yeah Legend wa kichawi. Kaseja ni mshirikina sana. Ninaishi na wana Simba (Legends) hapa mtaani na wanamsema hivyo. Uzuri ni kwamba si hawa tu jamaa wanamsema Kaseja, jamaa ni mshirikina haswa na anafahamika mno kwa wenzake katika timu alizokuwa anachezea.
Hao unaoishi nao ni makipa waliowahi kudaka timu moja na kaseja au wachezaji tu wa ndani? Na kama ni wachezaji wa ndani kivipi wanamchukia au kaseja alikuwa anaroga yoyote tu hata kama hauna ushindani nae wa namba yaani namaanisha kaseja pia alikuwa anawaroga mabeki,viungo na washambuliaji wa timu yake huku yeye ni golikipa?
 
Wachezaji wa ndani ambao wanajuwa undani wa Kaseja kutokana na maneno waliyokuwa wanaambiwa na marafiki zao makipa.
 
Kwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba.

Team moja kubwa hapa Dar ina mchezaji huyo nasikia ukiletwa namba yake hutodumu. Anakupiga misumali. Unapata jeraha hata ukiwa kitandani. Yaani unageuka kitandani usiku kiuno au goti linavunjika. Miezi 6 unapata matibabu.

Mwingine mkichuana kwenye namba ukipangwa wewe goli hulioni sehemu sahihi. Pale unapoliona goli ukashoot kumbe umelenga mpira kwenye kibendera cha kona. Watu hawakuelewi kabisa. Unaanza pigwa bench

Kuna kipa anasema siku akipangwa yeye huwa anaona mipira mitatu yote inakuja golini so anafanya kuotea tu halisi ni upi. Akikosea anadaka panzi ule halisi unaingia golini.
itakua unashirkiana nao..!!
 
drogba alimpiga misumali Tores mpaka pale alipokubali yeye mwenyewe kumwachia baada ya kumpa mkono ktk mechi pekee ya uefa amabyo chelsea ilishinda uefa.

kama kuna mtu aliangalia mechi ya Namungo yule salamaba anadalili ya kupigwa misumali kwa sababu kwa kawaida wapiga misumali ni wale wanaoitumikia klab halafu anakuja fala kuchukua sifa na kuchukua namba yake hahaaaaaaaaaaaaa
 
Mkude[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom