njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yuko indeni ya ligi kuu zambiaSiku hizi yupo wapi? Juma Abdul? Kuna mchezaji wa team flani kiatu chake kiliibwa kikaenda kutwa Zanzibar kwa mganga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yuko indeni ya ligi kuu zambiaSiku hizi yupo wapi? Juma Abdul? Kuna mchezaji wa team flani kiatu chake kiliibwa kikaenda kutwa Zanzibar kwa mganga.
Yaani unamuonea wivu mtu usiemjua 🤣🤣,Maisha magumu kwako ndo mana nalalama humu kwenye jukwaa la sportsEndeleeni kukalisha mapumbu huku mkijua maisha ni rahis kama mnavyokula barger
Kwahiyo ushirikina ndo umemfanya Kaseja awe Kaseja(Tanzania one) ?Yeah Legend wa kichawi. Kaseja ni mshirikina sana. Ninaishi na wana Simba (Legends) hapa mtaani na wanamsema hivyo. Uzuri ni kwamba si hawa tu jamaa wanamsema Kaseja, jamaa ni mshirikina haswa na anafahamika mno kwa wenzake katika timu alizokuwa anachezea.
Alalae haamshwi, kwa heri!Kwahiyo ushirikina ndo umemfanya Kaseja awe Kaseja(Tanzania one) ?
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu..mambo ya Kishirikina kwenye mpira yapo kuanzia kombe la kuku mpaka ligi kuu...bt mara zote quality huamua...sasa mbona Kaseja kazeeka lakini hayupo Simba,Yanga au Azam kama ishu ni uchawi? au hataki mishahara minono kama wenzie?acha hizo bana.
Acha weee....yote kwa yote uchawi huu haufanyi kazi kwa wazungu
Bocco ni "mlokole"...Manula,mkude,bocco,juma abdul,ngasa,buswita hao watu hatari,kaseja ilikua zamani sasa kaacha ugagula
🤣🤣drogba alimpiga misumali Tores mpaka pale alipokubali yeye mwenyewe kumwachia baada ya kumpa mkono ktk mechi pekee ya uefa amabyo chelsea ilishinda uefa.
kama kuna mtu aliangalia mechi ya Namungo yule salamaba anadalili ya kupigwa misumali kwa sababu kwa kawaida wapiga misumali ni wale wanaoitumikia klab halafu anakuja fala kuchukua sifa na kuchukua namba yake hahaaaaaaaaaaaaa
drogba uwezo nduguAcha weee....
Mfuatile DIDIER DROGBA....
we endelea kufuatilia life la watu tu utakuja kupata unachokitakaEndelea kucheka shoga! Cheka kwa nguvu zaidi
Kwani wanaoroga huwa hawana uwezo?!!drogba uwezo ndugu
sasa wagekua nao wangeroga???Kwani wanaoroga huwa hawana uwezo?!!
Ok mkuu🤣
Buswita. Uyu uyuManula,mkude,bocco,juma abdul,ngasa,buswita hao watu hatari,kaseja ilikua zamani sasa kaacha ugagula
Nani kakuambia,mugalu ile ndio bye bye kama hujuiBocco ni "mlokole"...
Mkuu mimi ngojea nimtetee BOCCO...Nani kakuambia,mugalu ile ndio bye bye kama hujui
TORRES AMEJIUNGA NA CHELSEA 2011 SASA KAMA DROGBA ALIMPIGA MISUMARI TORRES KWANINI DROGBA AONDOKE CHELSEA 2012?drogba alimpiga misumali Tores mpaka pale alipokubali yeye mwenyewe kumwachia baada ya kumpa mkono ktk mechi pekee ya uefa amabyo chelsea ilishinda uefa.
kama kuna mtu aliangalia mechi ya Namungo yule salamaba anadalili ya kupigwa misumali kwa sababu kwa kawaida wapiga misumali ni wale wanaoitumikia klab halafu anakuja fala kuchukua sifa na kuchukua namba yake hahaaaaaaaaaaaaa
Umeanza kumwangalia drogba na Torres link. Mkuu?TORRES AMEJIUNGA NA CHELSEA 2011 SASA KAMA DROGBA ALIMPIGA MISUMARI TORRES KWANINI DROGBA AONDOKE CHELSEA 2012?
JAMANI ULAYA MSINGI UWEZO SIO UCHAWI ,KAMA NI UCHAWI TUNGEKUA NA AKINA SAMATTA HATA 100 ULAYA
Kumbuka hakugusa hata mpira ...yaani kaumia mwenyewe sasa unadhani mechi ijayo kocha atasafiri naye ! Hawezi koz atahofia kwenda na mtu halafu ataumia[emoji1787][emoji1787]
Hamna siku nilipata "mawazo mabaya" na kumuonea huruma Sana Salamba Kama ile mechi ya JUZI looh mtu anaingia tu na kuumia....watakuambia alikuwa na "poor warming up"[emoji1787]
Maskini Salamba...
mechi gani ya uefa? kufeli kwa torres chelsea hakukusababishwa na drogba mkuu na ndo mana drogba alipoondoka 2012 bado torres alifeli chelseaUmeanza kumwangalia drogba na Torres link. Mkuu?
Angalia ile mechi ya uefa itakupa kitu kichwani...Torres alikuwa hadi kupiga penati anaogopa kwa kuandamwa na kukosa magoli lakini ile mechi drogba anafanyiwa sabu na dimateo anatoka anampa mkono Torres toress anaenda kutupia nyavu...