rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hajakutana na watu waliopinda. Wanamtandika bakora za ukweli a aacha hiyo tabia. Anapata kipigo hasa. Aende kwao Kigoma kujipanga upya.Kweli kabisa, cha kushangaza watu wanamjuwa kuwa ni mchawi wanamwangalia tu kumlia timing
Vinakwama kwenye lamiAnaleta habari za nasikia halafu anataka tumuamini,hivi vitoto sijui vinakwama wapi aisee!
Acha kumchafua legend na kipenzi cha wana simba Juma K Juma kwa maneno yasiyo na uhakika kaseja alikuwa na uwezo mkubwa na ndio siri ya kuwa chaguo la kwanza wakati wote akiwa simba wala sio ushirikina na kama kaseja angekuwa mshirikina mbona hakumroga Ivo mapunda national team enzi za maximo na kaseja alisugua sana tu mbele ya MapundaHuyu jamaa ni dhahiri kuwa ni mchawi haswa, alipokuwa Simba ilikuwa hivyo hivyo.....watu walimlalamikia sana na hakukuwa na mchezaji Simba alimpenda.
Yeah Legend wa kichawi. Kaseja ni mshirikina sana. Ninaishi na wana Simba (Legends) hapa mtaani na wanamsema hivyo. Uzuri ni kwamba si hawa tu jamaa wanamsema Kaseja, jamaa ni mshirikina haswa na anafahamika mno kwa wenzake katika timu alizokuwa anachezea.Acha kumchafua legend na kipenzi cha wana simba Juma K Juma kwa maneno yasiyo na uhakika kaseja alikuwa na uwezo mkubwa na ndio siri ya kuwa chaguo la kwanza wakati wote akiwa simba wala sio ushirikina na kama kaseja angekuwa mshirikina mbona hakumroga Ivo mapunda national team enzi za maximo na kaseja alisugua sana tu mbele ya Mapunda
Sasa hapo ndio umekumbusha nini? Taja majina uelewele achana na habari za kusikiaKwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba.
Team moja kubwa hapa Dar ina mchezaji huyo nasikia ukiletwa namba yake hutodumu. Anakupiga misumali. Unapata jeraha hata ukiwa kitandani. Yaani unageuka kitandani usiku kiuno au goti linavunjika. Miezi 6 unapata matibabu.
Mwingine mkichuana kwenye namba ukipangwa wewe goli hulioni sehemu sahihi. Pale unapoliona goli ukashoot kumbe umelenga mpira kwenye kibendera cha kona. Watu hawakuelewi kabisa. Unaanza pigwa bench
Kuna kipa anasema siku akipangwa yeye huwa anaona mipira mitatu yote inakuja golini so anafanya kuotea tu halisi ni upi. Akikosea anadaka panzi ule halisi unaingia golini.
Hao unaoishi nao ni makipa waliowahi kudaka timu moja na kaseja au wachezaji tu wa ndani? Na kama ni wachezaji wa ndani kivipi wanamchukia au kaseja alikuwa anaroga yoyote tu hata kama hauna ushindani nae wa namba yaani namaanisha kaseja pia alikuwa anawaroga mabeki,viungo na washambuliaji wa timu yake huku yeye ni golikipa?Yeah Legend wa kichawi. Kaseja ni mshirikina sana. Ninaishi na wana Simba (Legends) hapa mtaani na wanamsema hivyo. Uzuri ni kwamba si hawa tu jamaa wanamsema Kaseja, jamaa ni mshirikina haswa na anafahamika mno kwa wenzake katika timu alizokuwa anachezea.
Wachezaji wa ndani ambao wanajuwa undani wa Kaseja kutokana na maneno waliyokuwa wanaambiwa na marafiki zao makipa.Hao unaoishi nao ni makipa waliowahi kudaka timu moja na kaseja au wachezaji tu wa ndani? Na kama ni wachezaji wa ndani kivipi wanamchukia au kaseja alikuwa anaroga yoyote tu hata kama hauna ushindani nae wa namba yaani namaanisha kaseja pia alikuwa anawaroga mabeki,viungo na washambuliaji wa timu yake huku yeye ni golikipa?
itakua unashirkiana nao..!!Kwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba.
Team moja kubwa hapa Dar ina mchezaji huyo nasikia ukiletwa namba yake hutodumu. Anakupiga misumali. Unapata jeraha hata ukiwa kitandani. Yaani unageuka kitandani usiku kiuno au goti linavunjika. Miezi 6 unapata matibabu.
Mwingine mkichuana kwenye namba ukipangwa wewe goli hulioni sehemu sahihi. Pale unapoliona goli ukashoot kumbe umelenga mpira kwenye kibendera cha kona. Watu hawakuelewi kabisa. Unaanza pigwa bench
Kuna kipa anasema siku akipangwa yeye huwa anaona mipira mitatu yote inakuja golini so anafanya kuotea tu halisi ni upi. Akikosea anadaka panzi ule halisi unaingia golini.
kafanyaje mkuu??Dua bin Said.....ha haaaaaaaa.....?
Hilo chawi kwelikweli.....we angalia macho yake na mabega.Tshabalala...
wewe apoNani alikudanganya