Tukumbushane Wachezaji wanaopiga wenzao Miba na Team zao

Kumbuka hakugusa hata mpira ...yaani kaumia mwenyewe sasa unadhani mechi ijayo kocha atasafiri naye ! Hawezi koz atahofia kwenda na mtu halafu ataumia
Acha tu kaka....

Inasikitisha mnooo....
Kumbuka hakugusa hata mpira ...yaani kaumia mwenyewe sasa unadhani mechi ijayo kocha atasafiri naye ! Hawezi koz atahofia kwenda na mtu halafu ataumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…