Uwanja uhuru, enzi hizo NATIONAL STADIUM kiingilio tshs 6/= mzunguuko.
Foleni ya kukata tiketi nyingine na foleni ya kuingilia nyingine.
Unakuta foleni zote ni ndefu zilizojinyonganyonga halafu mtu hana tiketi lkn kakaa foleni kukupisha unampa tshs 1/=