Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

Uzi wa wakongwe japo mim sio mkongwe...enzi hizooo nakumbuka mia mbili ya noti pembeni ina picha ya Mwinyi akitazamana na chui
 
Lah we Mhenga
Uwanja uhuru, enzi hizo NATIONAL STADIUM kiingilio tshs 6/= mzunguuko.

Foleni ya kukata tiketi nyingine na foleni ya kuingilia nyingine.

Unakuta foleni zote ni ndefu zilizojinyonganyonga halafu mtu hana tiketi lkn kakaa foleni kukupisha unampa tshs 1/=
 
Back
Top Bottom