Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

Shikamoo baba na mama zangu, maana sisi wa under 30 hautuhusu, nimeanzia sh5 kutumia
 
Chips yai sh 5 enzi hizo ndio Chips za mitaani zinaanza,Kwenye mabaa ilikuwa ni mwendo wa Ndizi choma na kuku au nyama choma, Kwa mpemba pale karibu na Hongera baa Chuo cha Ustawi lazima ukutane na foleni ya watu wanasubili Oda yao na enzi hizo Chips ilikuwa km appetizer tu ,unagonga chips yai hlf ukirudi Home Menu kama kawa.
😂😂😂😂😂 Aisee, Safi sana kipindi hicho
 
Wakati tunasoma sekondari miaka ya 60 - 70 tulikuwa tunasafiri kwa warrant za serikali; na tukifika shuleni tunarudishiwa pesa zote tulizotumia safarini. Tulikuwa tunafuta nauli kwenye tiketi na risti zingine za gari na mapochopocho ya njiani na kuweka namba kubwa ili turudishiwe pesa zaidi. Ufisadi na upigaji vilianzia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Shimba acha uongo, we sekondari si umesoma juzi juzi tu hapo[emoji134]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nakumbuka mbaaali saana aseee

BEI NI NUSU LAKI ENDESHA VIZURI

Gari moja la jeshi. Asee


Tabora na Tanga sitoisahau hii mikoa
Tanga niliambilia ndoo
Tabora niliambulia meza ya duara na kukunja
 
Ndiyo hata basi ya uda yalikuwa yameandikwa hivyo
Nakumbuka mbaaali saana aseee

BEI NI NUSU LAKI ENDESHA VIZURI

Gari moja la jeshi. Asee


Tabora na Tanga sitoisahau hii mikoa
Tanga niliambilia ndoo
Tabora niliambulia meza ya duara na kukunja
 
Back
Top Bottom