Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahahaa sijambo babu. Kweli hii kitambo sana, sasa hivi mambo yamebadilika sana.Marahaba, hujambo? Nakupa na hii! Zamani ilikuwa raha sana, unakula nauli unakwenda kuvizia mabasi ya kampuni za Tanzania Bag (Magunia), Breweries, Kibo Match au Bonite, yalikuwa hayaachi mwanafunzi