Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
aah wapi kama 2007-2008 tu hapo ulikuwa dent😀😀😂😂 Kwanini ulihisi hivyo, ila nishavuka kwenye ubinti bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aah wapi kama 2007-2008 tu hapo ulikuwa dent😀😀😂😂 Kwanini ulihisi hivyo, ila nishavuka kwenye ubinti bana.
duh waongo humu eti shilingi 6 (sita).....
hata haipendezei yani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Bila shaka utakuwa na wajukuu sasa.Nakumbuka fan langu la kwanza nilinunua sh. 600 Kariakoo na nikiwa na rafiki yangu tukakodi tax kutoka Kariakoo mpaka Temeke sh. 50 enzi hizo Uda sent 20 hebu kumbuka na wewe vijana mtuache kidogo.
Kipindi hiko MAJI TUNALIPA NUWA mbele ya TRC.Hapo uda sent 20 kopo la beef sh.5
Hii sikuikuta nadhanHapo uda sent 20 kopo la beef sh.5
Kwakwel hayo mhenga mie sikumbuki😀Pole hajaona mabasi Kamata, Kwacha Moretco Railway [emoji2][emoji3]
Nakumbuka Nilinunua DABO DEKI Manzese kwa Tsh 35,000/= Enzi hizo CD hakuna nikanunua Kanda(Cassette) ya Shabba Ranks 1992 kwa Tsh 300.
Kiwanja Changu cha kwanza Robo Eka nilinunua kwa Tsh 25,000/= nikaja kukiuza kwa Laki 3 na Nusu mwaka 1995. (DSM)
Mzee Kiwanja Chake alinunua Tsh 200 (DSM) Size Miguu 20 kwa 25!!
Nina Risiti nilinunua Godoro kwa Tsh 35,000/= na Kitanda Popo Bawa kwa Tsh 40,000/= ,Godoro nilitumia kutengeneza sofa na Kitanda bado kipo mpaka leo nakitumia.
Vibanda umiza tulikuwa tunaingia kwa Tsh 20 kucheck picha za Rambo,Check Norris na Trailer Black Box na kina Mkomboti Evon Chakachaka!!
Tray zima?Ya zamani maya tray sh. 30
Ha ha ni kweli Soda nakumbuka ilikuwa sent 75