Tukumbushane; Wakumtoa Kafara haujichagulii mwenyewe isipokuwa unachaguliwa

Sasa ukisema siwajui vizuri, unapashwa kuweka hoja pale walipokwenda kwa waganga, wakatoa kafara za watu, kama wewe una taarifa hizo. Mimi nimesema hawakufanya ushetani huo.

Pia, umekosa kuelskeza kwa ushetani tu, utadhani kwamba mafanikio hutoka kwa shetani tu. Kama ndivyo hivyo, ungekuwa bayana kwa kuandika wale watoto wa shetani, baba yao huwa na mashrti hayo. HUwezi kusema general wakati wewe unawakilisha upande wa giza tu, na hujui mafanikio ya upande wa nuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…