Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

MARY CHIPUNGAHELO
PAUL KIMITI
SIR GEORGE KAHAMA
JOHN S.CHIGWIYE MISI MALECELA
CHRISANT MZINDAKAYA
 
Marko mabawa-shinyanga
mama mary chips chipungahelo- dar esalaaam
Majoe joseph warioba william Butiku- Mara
Daniel Machemba -Mwanza
Leonidas gama - kilimanjaro
William Lukuvi -Dodoma
Abas kandoro- Dar/Mwanza
Magesa Mulongo -Mara / Arusha/Mwanza
Eng Stella Manyanya- Rukwa
Prof John Machunda - Singida
Prof Sarungi- Pwani
Eng Mtigumwe- Singida
Bwana Aljabry -Ruvuma
Bwana Abdunuru Suleiman -Mwanza
 
Mimi nawakumbuka akina,
James ole Njoray
Dokta Wilbert Kleruu
Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri
Steven Mashishanga

Karibu uendeleee...

nilikuwa kijana kias kipind cha huyu mtu ila hadith za huyu Dokta Wilbert Kleruu nlikuwa nazipata watu walipotoka iringa mjini kuja home pawaga miaka hyo....alijiamin sana na kujisahau sana watu walidai mwishowe yakamkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…