A Town massive
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 249
- 234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF ni jungu kuu, Nicodemus Banduka namkumbuka.Mama Chips, Rwegasira na Mzee Songambele walikuwa na RC Dsm
Mikoani nawakumbuka Anatory Tarime Iringa
Kigoma Mwanzoni Mwa 1990s alikuwa Chrisant Maji ya Tanga Mzindakaya
Shinyanga early 1970 alikuwa Kingunge Ngombale Mwiru
Abubakar Mgumia
Lindi Mh. Nicodemus Banduka
Kagera 1990s alikuwa Philip Japhet Mangula na hata ukatib wa CCM wakat wa Mkapa aliupata 1997 akitokea Kagera
William Lukuvi RC Dsm
Huyu mtemi sijui yuko wapi?Magesa mlongo
Mkuu kaendelee kucheza PS3RC PAUL C. MAKONDA
Anko alienda kumdump kwao mara hukoHuyu mtemi sijui yuko wapi?
JF ni jungu kuu, Nicodemus Banduka namkumbuka.
Hilda Ngoye
Asante kwa somo zuri.Alikuwa Mwalimu wa History wa Mh. Lowassa akiwa Secondary
Kosa lake alikataa kuwa Mwana Mtandao 1995-2005 akawa Team ya Fredrick Sumaye
Alipo sikia Wana Mtandao wameshinda May 4, 2005 kule Dodoma alianza kujiandaa kuondoka Lindi hata kabla ya Kampeni haijaanza na kweli walipoingia alikuwa Mtu wa Mwanzo mwanzo kupumzishwa
Siasa Acha iitwe Siasa
Mh. Ditopile alikuwa Team wana Mtandao hata alipopata kesi ya Mauaji alikuwa anaingia Mahakamani kwa kupitia Mlango wa Majaji