Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

Ngoja nitaje ambao hawajatajwa
Dr Ahmed Kiwanuka
Brig Jenerali Hassan Ngwilizi
Mzee wetu Joel Bendera
Meja Sigela Nswima
Leonidas Gama
Dr Msengi
Mzee James Luhanga
Jordan Lugimbana
Mwantumu Mahiza
mwantumu Malale
Hawa Ngulume
Job Lusinde
Mwantumu Malale hajawahi kuwa mkuu wa mkoa
 
Balozi Mwasakafyuka - Tanga, 90's
 
Mama Halima Kasungu. Njombe, Singida, Kigoma , Iringa

Dr. Hassy Kitine. Tanga

John Mwakangale. Mbeya

Col. Mahawa. Kigoma

Mussa Nkangaa. Dodoma, Morogoro

Christopher Liundi. Dsm

Marehemu Baruti. Mkoa wa Rukwa!

Col. Mfuru. Kagera

Samuel Sitta. Iringa

John Mwakipesile. Mbeya

Brother Dito Ukiwaona Wa mzuzuli. Pwani,Kigoma, Tabora

Col. Tarimo. Singida, Manyara

Njelu Kasaka. Iringa
 
Zamani Wakuu wa Mikoa walikuwa wanahamasisha maendeleo kwa kutumia ushawishi kwa kufuata sheria,kanuni na busara,Lakini sasa hivi Wakuu wa Mikoa wengi hawajui sheria kanuni na taratibu za uendeshaji Serikali hivyo na hivyo kushindwa kuhamasisha maendeleo bali muda mwingi ni vitisho kwa watumishi na kutengeneza kiki kwenye vyombo vya habari.

Bahati mbaya Mkubwa wao hawafanyii tathimini kama Wakuu wa Mikoa wanafanya ubunifu wa kuleta maendeleo kwa wananchi.!
Wakuu wengi wa Mikoa enzi hizo walihamasisha na kusimamia ujenzi wa viwanja (Stadium) ambazo siku hizi vinaitwa viwanja vya ccm.

Eti mpaka leo tunazungumza uhaba wa madawati na madarasa,pamoja na visingizio vitakavyotolewa kuna tatizo la kukosa ubunifu na mipango endelevu.

N:B:Kama mipango inapangwa kila mwaka kwanini matamko yanakuwa mengi,Viongozi wajitathimini kunakupotezeana malengo ndani ya matamko yasiyozingatia mipango iliyokwisha pangwa.Wakuu wa Mikoa wangapi wanajua na kufuatilia mipango iliyopitishwa, badala yake wanafanya kazi kwa matukio!!
 
Prof. John Mchunda, RC Kigoma
Capt. Jaka Mwambi
Steven Mashishanga- Moro
Lawrence Gama-Moro
Col. Nsa Kaisi- Mtwara
Yusuf Makamna-Kigoma, Dsm

Vv
 
Back
Top Bottom