Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mimi naanza na Jenerali Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Waalimu, karibuni na nyie muendelee...
 
Dah! Kuna bendi ya muziki wa dansi ya Twanga pepeta ilitisha sana mwanzoni mwa miaka ya 2000's. Yaani kuanzia waimbaji, wapiga vinanda, wanenguaji, wapiga tumba, wapiga magitaa!

Sema tu Mkurugenzi wake Asha Baraka ni Kada wa CCM, lakini pia shabiki wa Simba. Hapa ndipo anapo nitibua. Ila kiukweli nyimbo zao nyingi mpaka leo nazikubali sana.
 
Back
Top Bottom