Dah! Kuna bendi ya muziki wa dansi ya Twanga pepeta ilitisha sana mwanzoni mwa miaka ya 2000's. Yaani kuanzia waimbaji, wapiga vinanda, wanenguaji, wapiga tumba, wapiga magitaa!
Sema tu Mkurugenzi wake Asha Baraka ni Kada wa CCM, lakini pia shabiki wa Simba. Hapa ndipo anapo nitibua. Ila kiukweli nyimbo zao nyingi mpaka leo nazikubali sana.