platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Hahaaaa..Mario mbabe sana.Tenga muda soma hayo maandishi kwenye picha uone jinsi Mou anavyouelezea utukutu wa Mario
![]()
Ni kama enzi ukiwa mdogo mzazi anakukanya usiende mbali kucheza lakini akigeuza mgongo upo mbaali kwa jirani