Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Tenga muda soma hayo maandishi kwenye picha uone jinsi Mou anavyouelezea utukutu wa Mario
BC8HoY7CcAEBvt0.jpg
Hahaaaa..Mario mbabe sana.
Ni kama enzi ukiwa mdogo mzazi anakukanya usiende mbali kucheza lakini akigeuza mgongo upo mbaali kwa jirani
 
Alikuwa akikutana Roy keane Vs Patrick viera kuna mmoja lazima apate kadi nyekungu au Martin kewon Vs eric Cantona lazima zichapwe na mtu alimwe red card
 
Gattuso Ac millan
Huyu na Paul Scholes walikua hawawezi kumaliza mechi bila kadi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji815] [emoji815] [emoji815]
 
Binafsi nadhani soka kwa sasa imeshuka kwa kweli. Wakati mwingine wachezaji wa aina ya akina (Roy Keane, Patrick Viera, Paul Ince, Edmundo, Efenberg, Marco Materazzi, Keown nk) walichangamsha soka. Lakini kwa soka la sasa figure kama hizo hazipo tena. Mfano ukiangalia team za England, Italia, Argentina, German nk ni nyepesi mnooo!
 
Back
Top Bottom