Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

Mimi nilikuwa beki mzuri sana, nilicheza namba 3 na wakati mwingine 4. katika masisha yangu ya soka sijawahi hata kumkwatua mchezaji, au hata kutamka mbovumbovu
mkuu ujanifikia mie, hata palipo tokea ugomvi nilikuwa wa kwanza kuamulia.

kipindi flani tulicheza na watoto wa shule ubabe mwingi, matusi mengi sana.ikatokea nimegongana na dogo akaniwashia moto nikaomba msamaha(ukumbuke mi ni mkubwa).

matukio mengi mpaka mwisho mwalimu wa michezo wa timu ile akanifata akanambia sijawahi ona mstaarabu kama ww tena beki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…