The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Alikuwa majimaji ya songea , na kina mbunga sikindeSamli Ayoub beki mstaarabu. Watakaomjua ni wachache sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa majimaji ya songea , na kina mbunga sikindeSamli Ayoub beki mstaarabu. Watakaomjua ni wachache sana
mkuu ujanifikia mie, hata palipo tokea ugomvi nilikuwa wa kwanza kuamulia.Mimi nilikuwa beki mzuri sana, nilicheza namba 3 na wakati mwingine 4. katika masisha yangu ya soka sijawahi hata kumkwatua mchezaji, au hata kutamka mbovumbovu
KabisaRoque Junior aliekuwa mchezaji wa Brazili WC ya 2002 na AS Roma
Hakuwahi kucheza majimaji huyu,na kina willy martin?Samli Ayoub beki mstaarabu. Watakaomjua ni wachache sana
Una utani mbaya!!Joey Barton