Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechukulia serious hiyo list bossAfande Sele apana.haukumsikia kwenye mkuki moyoni? Alimfuata mama yake Mtwara maza akamkataa akaingia kitaa kutafuta ela
"Kama unavyoelewa wenye pesa wengi waarabu ,nilivyo omba Kazi walitaka kwanza tarabu,washenzi hawana adabu.Afande sele-mkuki moyoni
Ukisika mtu anasoma China basi ni wakishua? Badilika jua kuna ufadhil piaWa kawaida angeweza kumpeleka mtoto kusoma CHINA,hawa wa kawaida tunaowajua sisi hata fees ya udom inagomba
Ukisika mtu anasoma China basi ni wakishua? Badilika jua kuna ufadhil piaWa kawaida angeweza kumpeleka mtoto kusoma CHINA,hawa wa kawaida tunaowajua sisi hata fees ya udom inagomba
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton
Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....
Hakuna mtu asiyependa kuongeza kipato weweMkuu kataa au kubali kuna watu wanatoa nyimbo kali na hit kali kinoma ila hawana mda kujikomba kwenye media ngoma zao zinaishia juu kwa juu na hawana shobo na kupiga shoo za kipa imara wala shoo za mikoani mfano mfuatilie bwn mdogo future jnl uangalie video zake na kazi zake ila hana mda na shobo kwenye media
Mbona sijaona jina langu hapo ,au Mimi ni msanii njaa
Umelielewa swali?au ndo wale mliochoraga makatuni kwenye necta flan HV?Diamond platnum
Wakati mtoto wa mbagala!!!? Acha hizo bwn.....Diamond platnum
Jamaa wa kishua ila hapendi kujionyesha tuSasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?
Hana ukishua wowote kwao ni kwa kawaida sanaJamaa wa kishua ila hapendi kujionyesha tu
mtwara au NntwaraBaba ake alikuwa mwenye kiti wa mtaa huko mtwara.