Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Afande Sele apana.haukumsikia kwenye mkuki moyoni? Alimfuata mama yake Mtwara maza akamkataa akaingia kitaa kutafuta ela

"Kama unavyoelewa wenye pesa wengi waarabu ,nilivyo omba Kazi walitaka kwanza tarabu,washenzi hawana adabu.Afande sele-mkuki moyoni
Umechukulia serious hiyo list boss
 
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton

Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....

Duh eti familia za kitajiri!
 
Mkuu kataa au kubali kuna watu wanatoa nyimbo kali na hit kali kinoma ila hawana mda kujikomba kwenye media ngoma zao zinaishia juu kwa juu na hawana shobo na kupiga shoo za kipa imara wala shoo za mikoani mfano mfuatilie bwn mdogo future jnl uangalie video zake na kazi zake ila hana mda na shobo kwenye media
Hakuna mtu asiyependa kuongeza kipato wewe
 
GWAMAKA KAIHULA (GK) MAMAKE ALIKUWA MWALIMU CBE AKAZINGUANA NA MKUU WA CHUO AKAINGIA CHADEMA AKAUKWAA UBUNGE VITI MAALUMU SERIKALI YA KIKWETE NA PIA ALIKUWA ACTIVIST WA TGNP
 
Back
Top Bottom