Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Watu wanafanya muziki kwa sababu ni kazi halali sio suala la njaa.
Mkuu kataa au kubali kuna watu wanatoa nyimbo kali na hit kali kinoma ila hawana mda kujikomba kwenye media ngoma zao zinaishia juu kwa juu na hawana shobo na kupiga shoo za kipa imara wala shoo za mikoani mfano mfuatilie bwn mdogo future jnl uangalie video zake na kazi zake ila hana mda na shobo kwenye media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…