Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwa wa kisure lakini Mzee wake alipofariki warirudi kwenye umasikini kulingana na idadi kubwa ya family ya watoto 8. Kwa iyo alikuwa anafanya mziki kwa njaaVANESSA MDEE
Kuna kipindi vanessa alikuwa free lancerHuyu alikuwa wa kisure lakini Mzee wake alipofariki warirudi kwenye umasikini kulingana na idadi kubwa ya family ya watoto 8. Kwa iyo alikuwa anafanya mziki kwa njaa
You can't be serious msaga sumu ninaemjua mimi alikuwa nauza mitumba tandika?Msagasumu
Mmh niko tayari kupinga hata Mahakamani, Diamond sio wa kishuaDiamond platnum
Mkuu kataa au kubali kuna watu wanatoa nyimbo kali na hit kali kinoma ila hawana mda kujikomba kwenye media ngoma zao zinaishia juu kwa juu na hawana shobo na kupiga shoo za kipa imara wala shoo za mikoani mfano mfuatilie bwn mdogo future jnl uangalie video zake na kazi zake ila hana mda na shobo kwenye mediaWatu wanafanya muziki kwa sababu ni kazi halali sio suala la njaa.
Jaquelin hakuwa wa kishua alikuwa ana jifanya wa kishua. Kwao kawaida tuu.Nakaaya Sumari
na
Jacqueline Mengi Ntuyabaliwe
Mmh...!!!Diamond platnum
Nakukumbuka sanaKuna kipindi vanessa alikuwa free lancer
Alikuwa anauza line za simu mtaani.
Huy leo ndo nimemsikia anaimba nyimbo gani mkuu au anaimba nyimbo za asili[emoji23]Deogratus kisandu.
Sasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?Nahreel